Wee mzee wewe. Sera ya Chadema ni kuto-omba omba. Mbona mnampenda kuomba omba sana. Mna nini nyie watu? Mtu anatoka nje kuomba mnampokea kwa ngoma kisa amepewa ''vifedha''! Haa haa haa! Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake. Nchi yetu imejaa utajiri lakini watu hamjiamini?Wanaukumbi.
Ngorongoro, Burj Khalifa, Ukraine, Katiba, Zitto, Mwenyekiti, Jiunge Mnyororoni, Zelenskyy Kidume, kuichukua Zanzibar, Dokta Slaa, Royo Tua, Bunge La Space kila wiki, mbona kama mambo ni mengi sana mtaweza kweli kwenda nayo yote kwa pamoja pamoja na Katiba mpya huku kila mmoja kajifungia chumbani kwake anachangia bunge la Space wengine Canada wengine Tarime.
Chadema inawatesa SanaWanaukumbi.

Dira ni kuipatia Tz katiba mpya na hatimae tume huru ya uchaguzi na kituo kitakacho fuata ni kukamata doraš¤Wanaukumbi.
Ngorongoro, Burj Khalifa, Ukraine, Katiba, Zitto, Mwenyekiti, Jiunge Mnyororoni, Zelenskyy Kidume, kuichukua Zanzibar, Dokta Slaa, Royo Tua, Bunge La Space kila wiki, mbona kama mambo ni mengi sana mtaweza kweli kwenda nayo yote kwa pamoja pamoja na Katiba mpya huku kila mmoja kajifungia chumbani kwake anachangia bunge la Space wengine Canada wengine Tarime.
Huo uhuni mliokwenda kufanya Dubai ndo mnautetea kwa mlango wa nyuma? Hili la kutafuna fedha za walipa kodi kwa tangazo la dakika 3 lisilo na faida kwa nchi hatutalikalia kimya. Endeleeni kudhani kila anayekosoa upuuzi wenu ni CHADEMA.Wanaukumbi.
Ngorongoro, Burj Khalifa, Ukraine, Katiba, Zitto, Mwenyekiti, Jiunge Mnyororoni, Zelenskyy Kidume, kuichukua Zanzibar, Dokta Slaa, Royo Tua, Bunge La Space kila wiki, mbona kama mambo ni mengi sana mtaweza kweli kwenda nayo yote kwa pamoja pamoja na Katiba mpya huku kila mmoja kajifungia chumbani kwake anachangia bunge la Space wengine Canada wengine Tarime.
dora ndiye mdudu gani huyo!Dira ni kuipatia Tz katiba mpya na hatimae tume huru ya uchaguzi na kituo kitakacho fuata ni kukamata dora[emoji848]
mutipal issues ndiyo mnyama gani huyo?Lumumba vichwa panzi, mkiona vichwa vinajadili multipal issues mnavishangaa kwasababu nyie licha ya kukaa madarakani zaidi ya miaka hamsini lakini bado umasikini, ujinga, na maradhi vimewashinda kuviondoa kwa watanzania.
Waulize wasiohitaji waliofaulu kwenye KAZI Yao watakupa majibu mujarabuš¤dora ndiye mdudu gani huyo!
Waulize wasiohitaji wenye akili kwenye kazi zaomutipal issues ndiyo mnyama gani huyo?
Waulize wasiohitaji wenye akili kwenye kazi zao
Sio mpitimbi ni Cha kazuramimba na kolomiješKiingereza cha mpitimbi hicho jamani!
Sibora hao kuliko wazee wakubambika chichiemuCDM.......!
Wazee Wa Nongwa....
Wazee Wasio kuwa na Chema Machoni Pao..!
Wazee wanaosubiri Kulaumu...
multipal! Duh, kazi kweli kweli!Sio mpitimbi ni Cha kazuramimba na kolomije[emoji125]
It's not for fluency but for communication, usiteseke.multipal! Duh, kazi kweli kweli!