PreGE2025 CHADEMA, Dodoma: Hatuyumbishwi, tuko imara kuliko wakati wowote, kuna watu wanahama kwa kisingizio cha Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hongereni kwa msimamo thabiti

Pamoja tutaifikia nchi ya ahadi
 
Sisi kama CHADEMA, Dodoma Mjini tuko imara kuliko siku zote. Hatuyumbishwi wala hatuna tamaa. Hatuhitaji kuwa na mihemko ya kisiasa. Tumechaguliwa na wanachama, tumeomba kuongoza chama hiki kukitoa pale kilipo na kuwatoa Watanzania walipo na kuwapeleka kwenye nchi ya amani na haki."💗💗💗
 
Kanda ya kati wakikosa Chakula wanakulaga wadudu,hizi pesa walizopewa zikiisha,wadudu watakiona cha moto
Kanda ya kati ipi ndugu. Mbona kule Bukoba wanakula senene. nayo ni kanda ya kati? Mtwara wanakula panya, nayo ni kanda ya kati? kaskazini magharibi Wahadzabe wanakula kila wanachokutana nacho, nako ni kanda ya kati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…