CHADEMA: Embodying Perennial Courage and Indelible Political Legacy Amidst Tyranny

CHADEMA: Embodying Perennial Courage and Indelible Political Legacy Amidst Tyranny

Mwisho wa Uchaguzi Mkuu CCM itaibuka kidedea na mtabaki kuloloma miaka mingine mitano hadi 2030. Na mwaka huo mkizibaa tena mnaenda hadi 2035! CCM haipoi!!!
Nasema hivi, hatutamani wala kusikitika kwa kutoshiriki uchaguzi wa kishenzi. Kama mtaibuka washindi hilo mtajua kimpango wenu.
 
CHADEMA ni chama cha kishujaa, chama ambacho kitadumu milele duniani. Hii sio propaganda, ni historical inevitability. Spirit yake haiwezi kufutwa, haikatakaa kife.

CCM, mnadhani kuzuia opposition ni strategy ya successful state? Kwa nini mnajiona mna-right ya ku-destroy chama kilicho imara kisiasa? Ni psychological arrogance gani hii?

Hii ni woga uliofichwa kwa nguvu na repression. CCM, mnajua kwamba kila attack yenu, kila trick yenu, inatokana na fear na insecurity. Mnadhani leadership yenu inaweza ku-override historical justice?

CHADEMA ni movement ya people, siyo group ya majina tu. Hii ideology ni collective consciousness ya wananchi waliochoka na corruption na ujinga. Even kama watu wote wangehama, spirit ya CHADEMA ingedumu!

CCM, history itawahukumu. Mnadhani silence ya wananchi ni weakness? Mnadhani unaccountability yenu itakaa? Wallah, blood, struggle, na courage ya CHADEMA haitasahaulika!

#CHADEMA #Kishujaa #CCMUjinga #JusticeForTanzania

Gz7bME-XwAA5n3H.jpeg
 
Kweli kabisa. Maana hadi sasa hatuna mpinzani halisi. Mwalimu mtu wetu, Mpina tumemchakachua. Lissu asiye hongeka tumemweka ndani. Vyama vingine vyote ni vyetu. Tume ni yetu, CCM tumeshinda tayari na wala hakukuwa na sababu za kampeni kupoteza muda na pesa.
Unahisi Lissu haongeki? Basi hujui maana ya "project". Mbona Mbowe mlikuwa mnamwita "Mwamba tuvushe" miaka 20 Mwenyekiti hasi akawa Ayatollah Mbowe kisa mnasema yeye ndio kiboko ya CCM. Baadae ninyi ninyi mkaja kusema je kuhusu Mbowe? Sasa subiri ya Lissu ndio utaelewa nini maana ya "Si hasa" kabla haijatolewa "h"!
 
Huwezi kulingalisha chadema ya sasa iliyo kwenye mioyo ya watanzania na nccr ya mrema. Mimi nimeshiriki kwenye zoezi hilo 1995. NCCR haikuwa imejijenga wala kuwa na mizizi chini. Hapa tunapojadili, mimi, mke wangu, watoto wangu wote, hawataki kuisikia CCM.
Sawa endelea na watoto wako na mke wako na CHADEMA yenu, hiyo ndiyo demokrasia
 
Back
Top Bottom