Nasema hivi, hatutamani wala kusikitika kwa kutoshiriki uchaguzi wa kishenzi. Kama mtaibuka washindi hilo mtajua kimpango wenu.Mwisho wa Uchaguzi Mkuu CCM itaibuka kidedea na mtabaki kuloloma miaka mingine mitano hadi 2030. Na mwaka huo mkizibaa tena mnaenda hadi 2035! CCM haipoi!!!
CHADEMA ni chama cha kishujaa, chama ambacho kitadumu milele duniani. Hii sio propaganda, ni historical inevitability. Spirit yake haiwezi kufutwa, haikatakaa kife.
CCM, mnadhani kuzuia opposition ni strategy ya successful state? Kwa nini mnajiona mna-right ya ku-destroy chama kilicho imara kisiasa? Ni psychological arrogance gani hii?
Hii ni woga uliofichwa kwa nguvu na repression. CCM, mnajua kwamba kila attack yenu, kila trick yenu, inatokana na fear na insecurity. Mnadhani leadership yenu inaweza ku-override historical justice?
CHADEMA ni movement ya people, siyo group ya majina tu. Hii ideology ni collective consciousness ya wananchi waliochoka na corruption na ujinga. Even kama watu wote wangehama, spirit ya CHADEMA ingedumu!
CCM, history itawahukumu. Mnadhani silence ya wananchi ni weakness? Mnadhani unaccountability yenu itakaa? Wallah, blood, struggle, na courage ya CHADEMA haitasahaulika!
#CHADEMA #Kishujaa #CCMUjinga #JusticeForTanzania
Unahisi Lissu haongeki? Basi hujui maana ya "project". Mbona Mbowe mlikuwa mnamwita "Mwamba tuvushe" miaka 20 Mwenyekiti hasi akawa Ayatollah Mbowe kisa mnasema yeye ndio kiboko ya CCM. Baadae ninyi ninyi mkaja kusema je kuhusu Mbowe? Sasa subiri ya Lissu ndio utaelewa nini maana ya "Si hasa" kabla haijatolewa "h"!Kweli kabisa. Maana hadi sasa hatuna mpinzani halisi. Mwalimu mtu wetu, Mpina tumemchakachua. Lissu asiye hongeka tumemweka ndani. Vyama vingine vyote ni vyetu. Tume ni yetu, CCM tumeshinda tayari na wala hakukuwa na sababu za kampeni kupoteza muda na pesa.
Na hiyo ndio furaha yetu!Nasema hivi, hatutamani wala kusikitika kwa kutoshiriki uchaguzi wa kishenzi. Kama mtaibuka washindi hilo mtajua kimpango wenu.
Ni kweli, maana hamna uwezo tena wa kushindana.Na hiyo ndio furaha yetu!
Sawa endelea na watoto wako na mke wako na CHADEMA yenu, hiyo ndiyo demokrasiaHuwezi kulingalisha chadema ya sasa iliyo kwenye mioyo ya watanzania na nccr ya mrema. Mimi nimeshiriki kwenye zoezi hilo 1995. NCCR haikuwa imejijenga wala kuwa na mizizi chini. Hapa tunapojadili, mimi, mke wangu, watoto wangu wote, hawataki kuisikia CCM.
Sikulishi🤣
Nimewahi kuomba msaada wowote kwako?
Unaposema nifanye kazi, unanilisha mkuu
Nyie ambao mna uwezo mkaamua kutoshiriki kabisa! Nimekusoma!!Ni kweli, maana hamna uwezo tena wa kushindana.
Hatushiriki kwenye chaguzi kama fashion, tunashiriki kwenye chaguzi ambazo kura zinaheshimiwa.Nyie ambao mna uwezo mkaamua kutoshiriki kabisa! Nimekusoma!!
Ahahahahaha!!Hatushiriki kwenye chaguzi kama fashion, tunashiriki kwenye chaguzi ambazo kura zinaheshimiwa.