CHADEMA endeleeni kuzindua magorofa na kuchinja mbuzi chama kikiendelea kutota baharini

Very true
 
Duh!!! ndugu yangu, una wivu hadi unashidwa kujizuia? Wewe huna nyumba ya kuzindua wala chama cha kuimarisha, utawazodoaje walio na uwezo wa kujenga maghorofa na bado wanao uwezo wa kufadhili na kuendesha chama kwa ufanisi? Wivu tu!!
 
Hahaha pamoja na mgao wa ruzuku
 
Arusha CCM iliiba michango ya marehemu watoto wa shule ikajidai eti watajenga hospitali, mpaka leo hakuna cha hospitali. Bukoba baada ya kuiba michango ya waliopatwa na tetemeko la ardhi, Magufuli akabwata eti kwani yeye ndiye alileta tetemeko! Mpaka leo kuna watu hawajaweza kujenga nyumba zao.
Mnaiba ng'ombe huyu akiiba yai mnaona kaiba sana!
 
Uhuru wa Tanzania bila hata chama ungepatikana. Ilikuwa inasubiriwa tu mtu anayejua kiingereza ndio apewe nchi. Alipojitokeza Nyerere akapewa.
 
Kwahiyo CHADEMA ni CCM B?
 
Hahaha ni kweli hapo tumepiga kwenye mshono kabisa
 
Meya Jackob aliingia katika nafasi hiyo pale ubungo akiwa hohe hahe, ametoka bilionea
 
Uwe na akili za mwanadamu. Wapi chadema kama chama wameshangilia ghorofa? All in all, It is non of your bussiness, inakuhusu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…