CHADEMA endeleeni kuzindua magorofa na kuchinja mbuzi chama kikiendelea kutota baharini

CHADEMA endeleeni kuzindua magorofa na kuchinja mbuzi chama kikiendelea kutota baharini

Sasa hayo si mambo yao binafsi.au hairuhusiwi watu kua na mambo binafsi?.Ata kama wameshanya ya kishamba ni mambo binafsi hayahusiani na chama.Mambo ya chama niyachama .wewe ni wivu,ujinga na ushamba unakusumbua.
 
Back
Top Bottom