Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Mar 15, 2024 #41 MamaSamia2025 said: Ndo mnavyodanganyana hapo Ufipa? Click to expand... Ww uliyelishwa historia ya upotoshaji ndio unadhani uhuru wa Tanzania ulikuwa wa kupigania.
MamaSamia2025 said: Ndo mnavyodanganyana hapo Ufipa? Click to expand... Ww uliyelishwa historia ya upotoshaji ndio unadhani uhuru wa Tanzania ulikuwa wa kupigania.
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 14,588 Reaction score 32,361 Mar 15, 2024 #42 Tindo said: Ww uliyelishwa historia ya upotoshaji ndio unadhani uhuru wa Tanzania ulikuwa wa kupigania. Click to expand... Endelea kujidanganya kwa stori za hilo genge lenu la Ufipa.
Tindo said: Ww uliyelishwa historia ya upotoshaji ndio unadhani uhuru wa Tanzania ulikuwa wa kupigania. Click to expand... Endelea kujidanganya kwa stori za hilo genge lenu la Ufipa.
gigabyte JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 5,717 Reaction score 6,465 Mar 16, 2024 #43 Sasa hayo si mambo yao binafsi.au hairuhusiwi watu kua na mambo binafsi?.Ata kama wameshanya ya kishamba ni mambo binafsi hayahusiani na chama.Mambo ya chama niyachama .wewe ni wivu,ujinga na ushamba unakusumbua.
Sasa hayo si mambo yao binafsi.au hairuhusiwi watu kua na mambo binafsi?.Ata kama wameshanya ya kishamba ni mambo binafsi hayahusiani na chama.Mambo ya chama niyachama .wewe ni wivu,ujinga na ushamba unakusumbua.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 16, 2024 #44 Mambo yao waachie wenyewe... Cc: Mahondaw