MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
1. Punguzeni Shutuma kwa Mahakama
2. Punguzeni Vitisho
3. Punguzeni Matusi
4. Punguzeni Mikakati ya Fujo
5. Punguzeni Kuhamasishana
6. Punguzeni Kukamia Kukomoa
7. Punguzeni Propaganda za hovyo
8. Punguzeni kujifanya Wajuaji mno
9. Punguzeni kuwa na Viherehere
10. Punguzeni kulalamika bila Hoja
11. Punguzeni kutaka kujifanya mna Haki kuliko wengine na Sheria za nchi
Msipoyafanyia Kazi haya niliyowaambia hapa Mtu wenu ataozea Segerea na Kesi yake kila Siku itakuwa inapigwa danadana tu kwani mmeshaanza Kuonekana ni Magaidi mliojificha katika Muamvuli wa Siasa na Demokrasia.
Msije kusema tu hamkushauriwa sawa?