MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ikiwa dola la kirumi lilishindwa sembuse dola la jiwe?mkuu hao watu hawashahuriki!
wanafikiri wanaweza kuishinda dola
Tindo ulikuwepo mahakamani leo kumpa sapoti Mwamba?Upuuzi mtupu.
Atakufa kishujaa lakini siyo kufa kijinga kama alivyokufa dikteta wenuMuoneeni Huruma Mwenyekiti wenu Mbowe ataozea Segerea halafu UVIKO-19 nayo huwa haichezi mbali na maeneo hayo.
Hilo halina tatizo, tatizo ni wale waonevu tutasubiria hukumu yao toka juu, hivi jiwe yuko wapiEndeleeni tu Kunidharau Mwenyekiti wenu ataozea Jela / Gerezani Segerea hivi hivi.
wanahangaika na CHADEMA usiku na mchanaNani kakwambia Mbowe au wapinzani wanataka kupumzika?
Labda wanaotaka kupumbuzika ni wewe na mama!
Nani aliwaambia mkishika watu ndio mtapata peace of mind?Ndio kwanza linchi linakua na makelele ya kutosha
Mtajijua kuchezea mzinga wa nyuki
Tindo ulikuwepo mahakamani leo kumpa sapoti Mwamba?
Hahaha, ila mbona leo niliona kuna watu wanaingia mahakamani bila bughudha? Shida ni pale mnapoanza kubeba mabango ya kejeli, hii Tz kaka, msijilinganishe na US, wale demokrasia yao wameanza kuipigania miaka 300 iliyopita, sisi hata 30 hatujatoboa bado.Sipo Dar wiki hii, last week nilikuwepo, na jamaa yangu polisi alikuwa kwenye askari walioagizwa kutupiga. Alinionya nisisogee mbele maana wameagizwa kutuacha na vilema. Nilikwenda kushuhudia ujinga wa waafrika wenye kiburi cha madaraka.
Mama anaupiga mwingi, nyoosha hao Sukuma Gang. Ushahidi wa Ole Sabaya umeeanza leo Arusha.Nani kakwambia Mbowe au wapinzani wanataka kupumzika?
Labda wanaotaka kupumbuzika ni wewe na mama!
Nani aliwaambia mkishika watu ndio mtapata peace of mind?Ndio kwanza linchi linakua na makelele ya kutosha
Mtajijua kuchezea mzinga wa nyuki
Nilipoona wamempandisha MDUDE CHADEMA siku 3 baada ya kushinda kesi ya madawa ya kulevya kule Mbeya na mitusi aliyoanza kumtukana Mama pale Barracuda Tabata na Mbowe yuko palepale wala asimchukulie hatua, ndipo nikajuwa CHADEMA haina uongozi.1. Punguzeni Shutuma kwa Mahakama
2. Punguzeni Vitisho
3. Punguzeni Matusi
4. Punguzeni Mikakati ya Fujo
5. Punguzeni Kuhamasishana
6. Punguzeni Kukamia Kukomoa
7. Punguzeni Propaganda za hovyo
8. Punguzeni kujifanya Wajuaji mno
9. Punguzeni kuwa na Viherehere
10. Punguzeni kulalamika bila Hoja
11. Punguzeni kutaka kujifanya mna Haki kuliko wengine na Sheria za nchi
Msipoyafanyia Kazi haya niliyowaambia hapa Mtu wenu ataozea Segerea na Kesi yake kila Siku itakuwa inapigwa danadana tu kwani mmeshaanza Kuonekana ni Magaidi mliojificha katika Muamvuli wa Siasa na Demokrasia.
Msije kusema hamkushauriwa sawa?
Point yenye mashiko shida wote no sikio la kufa1. Punguzeni Shutuma kwa Mahakama
2. Punguzeni Vitisho
3. Punguzeni Matusi
4. Punguzeni Mikakati ya Fujo
5. Punguzeni Kuhamasishana
6. Punguzeni Kukamia Kukomoa
7. Punguzeni Propaganda za hovyo
8. Punguzeni kujifanya Wajuaji mno
9. Punguzeni kuwa na Viherehere
10. Punguzeni kulalamika bila Hoja
11. Punguzeni kutaka kujifanya mna Haki kuliko wengine na Sheria za nchi
Msipoyafanyia Kazi haya niliyowaambia hapa Mtu wenu ataozea Segerea na Kesi yake kila Siku itakuwa inapigwa danadana tu kwani mmeshaanza Kuonekana ni Magaidi mliojificha katika Muamvuli wa Siasa na Demokrasia.
Msije kusema hamkushauriwa sawa?