Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Vyovyote vile wana haki ya kufanya maandamano maana hamna sheria yeyote iliyovunjwa.Tunaelekea kwny Mwaka wa uchaguzi
Heka heka hizi huwa zipo miaka yote
Sasa hivi wameacha kupigania Katiba mpya wanapigania marekebisho ya sheria ya Uchaguzi.
Serikali ikiridhia mapendekezo ya vipengele kadhaa vya Sheria ya Uchaguzi maana yake itakuwa Serikali na Chadema wamekubaliana kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu bila ya Katiba mpya ambayo Chadema walituambia bila ya Katiba mpya sio tu hawatoshiriki Uchaguzi Mkuu bali uchaguzi huo hautokuwepo kabisa
Siasa ni Sayansi, Jamaa wanarudishwa kundini kwa style yake.
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo wewe hutatoka kuandaman unatuma wenzako wewe ukiwa ndani uone watafanywa nn sio??Huyu RC wa hapa dar namshangaa sana kwa ukurupukaji wake . Unatangaza kuweka vikosi 8000 vya majeshi mtaani na magari ya kijeshi hivi huyu yupo sawa kweli?
Kwani maandamano yana shida gani watu kueleza hisia zao? Huu uoga wa serikali dhidi ya vyama vya upinzani utaisha lini nchi hii.sasa nawashauri Chadema ushauri wa bure kabisa na nyie tangazeni kupeleka maandamano tarehe 25 na 26 ili tumuone huyu RC nae atafanyaje akileta mchezo wa kitoto na nyie mfanyieni utoto tuu si kaamua kuwa KJ ?
Ni kama vile wanaona jeshi linalipwa mshahara bila kufanya kazi na wangependa litany kazi!! Yaani wanajuta linatengewa bajeti wakati hakuna vita... wameona kama hawapigani, basi wafanye usafi,wazoe taka, wasafishe mitaro... nk. Ati wanaupiga mwingi! Ndo uongozi tulo naoWatasema zoezi la kufanya usagi ni endelevu kwa wiki nzima... hawakuweza kumaliza ndani ya siku 2 kutokana na chamgamoto mbalimbali... hivyo wataendelea mpaka watakapomaliza hata kama ni mwezi ujao..
Akili kubwa....
Kwa nini wasifanye hivyo kila mwezi miji yetu ingekuwa na usafi.Ni kama vile wanaona jeshi linalipwa mshahara bila kufanya kazi na wangependa litany kazi!! Yaani wanajuta linatengewa bajeti wakati hakuna vita... wameona kama hawapigani, basi wafanye usafi,wazoe taka, wasafishe mitaro... nk. Ati wanaupiga mwingi! Ndo uongozi tulo nao
Ni Dharau na fedheha kubwa kulitumikisha Jeshi kufanya usafi wa jiji...Ni kama vile wanaona jeshi linalipwa mshahara bila kufanya kazi na wangependa litany kazi!! Yaani wanajuta linatengewa bajeti wakati hakuna vita... wameona kama hawapigani, basi wafanye usafi,wazoe taka, wasafishe mitaro... nk. Ati wanaupiga mwingi! Ndo uongozi tulo nao
Kuandamana ni Haki ya kila mtanzaniaKwa hiyo wewe hutatoka kuandaman unatuma wenzako wewe ukiwa ndani uone watafanywa nn sio??
Pumbavu kabsaa toka wewe
Tutafanya usafi siku ya maandamanoHuyu RC wa hapa dar namshangaa sana kwa ukurupukaji wake . Unatangaza kuweka vikosi 8000 vya majeshi mtaani na magari ya kijeshi hivi huyu yupo sawa kweli?
Kwani maandamano yana shida gani watu kueleza hisia zao? Huu uoga wa serikali dhidi ya vyama vya upinzani utaisha lini nchi hii.sasa nawashauri Chadema ushauri wa bure kabisa na nyie tangazeni kupeleka maandamano tarehe 25 na 26 ili tumuone huyu RC nae atafanyaje akileta mchezo wa kitoto na nyie mfanyieni utoto tuu si kaamua kuwa KJ ?
Dunia nzimaMajeshi ya tz ,yanatumika wanavyotaka
Ova