Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Huyu RC wa hapa dar namshangaa sana kwa ukurupukaji wake . Unatangaza kuweka vikosi 8000 vya majeshi mtaani na magari ya kijeshi hivi huyu yupo sawa kweli?
Kwani maandamano yana shida gani watu kueleza hisia zao? Huu uoga wa serikali dhidi ya vyama vya upinzani utaisha lini nchi hii.sasa nawashauri Chadema ushauri wa bure kabisa na nyie tangazeni kupeleka maandamano tarehe 25 na 26 ili tumuone huyu RC nae atafanyaje akileta mchezo wa kitoto na nyie mfanyieni utoto tuu si kaamua kuwa KJ ?