Chadema Fukuza Joseph Selasini sasa hivi ni Kirusi chenye ushawishi

Sanyambila

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
403
Reaction score
539
Chadema Fukuza Joseph Selasini sasa hivi

Joseph Selasini alikuwa ni miongoni mwa Wanamageuzi 15 waliounda Kamati ya Kitaifa ya Mabadiliko ya Kikatiba, The National Convention for Construction and Reform (NCCR) mwaka 1991, wakiongozwa na Mzee Fundikira, Mtikila, Marando, Lwamwai na wengine.

Kwenye kamati hiyo akiwa na Mabere Marando, Masumbuko Lwamwai waliwasaliti wenzao wakawafukuza, Mtikila akaanzisha Democratic Party (DP), Fundikira akaanzisha (UMD), wao wakaongeza neno MAGEUZI, kamati ikajigeuza kuwa chama cha siasa kikaitwa NCCR-Mageuzi.

Mwaka 1995 Augustine Mrema alijiunga na chama hicho na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti na Selasini akawa secretarieti yake na James Mbatia.

Mwaka 1997 Selasini akiwa na wenzake kina Marando wakamfukuza Mrema akajiunga na TLP.

Mwaka 2009 Selasini alijiunga na Chadema baada ya kuivuruga NCCR-Mageuzi.

Mwaka 2020 Selasini aliondoka Chadema na kurudi NCCR-Mageuzi.

Mwaka 2020 Selasini alianzisha vurugu ndani ya NCCR-Mageuzi, akishirikiana na Naibu Msajili wa vyama vya siasa Sisty Nyahoza walifanikiwa kumuondoa James Mbatia kwenye nafasi ya Uenyekiti.

Mwaka 2026 Selasini amerudi Chadema, ndani ya miezi miwili anataka Makamu Mwenyekiti aliyemkuta achunguzwe na kuondolewa.

Huyo ndiye Selasini kwenye safari ya siasa ndani ya vyama, ni kirusi, alitumwa kuimaliza NCCR-Mageuzi katumwa tena kuimaliza Chadema.

Afukuzwe haraka kwenye chama na adhibitiwe kabla hajaleta madhara makubwa, mtanishukuru.

Copy and Paste
 
Erythrocyte

Erythrocyte fukuza Selasini, achana na mambo ya siku 14. Fukuza aende mahakamani
 
Hivi CHADEMA huwa hawana jicho la kuona wasaliti kiasi kwamba inawarudisha Chamani?!! Hao wanawahadaa wanachama wao?!!
 
Njaa mbaya sana hasa kwa hawa wazee wa mbege yaani akipata kiu tu balaa anaweza hata kuuza figo zake ilimradi tu akalewe.
 
Back
Top Bottom