Elections 2010 CHADEMA fungueni mashtaka dhidi ya serikali

Mganga wa Jadi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2008
Posts
280
Reaction score
51
Ni dhahiri kwamba serikali imesabaisha fujo na mauaji ya watu wasio na hatia huko Arusha, wanasheria wa CHADEMA tunawaomba wawasilishe mashataka mahakamani ili wote walio sababisha yote haya wachukuliwe hatua. Hii ni pamoja na Mwema ambaye ndo first in the list kwa tamko alilotoa jioni ya siku iliyo tangulia mauaji hayo ya kinyama!!!!
 
MAHAKAMA GANI ICC AU HAPA KWA JAJI Othman Chande Kikwete???/
 
MAHAKAMA YA ICC AU MAHAKAMA YA JAJI ROSTAM LOWASA KIKWETE CHaNDE?????????
 
Back
Top Bottom