Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Afu mbaya zaidi wanadili na tuishu tudogo,ila wamezid dharauIla wanachokifanya policcm, ni dharau sana kwa wananchi. Yaani badala ya kujikita kwenye majukumu yao ya msingi, ya kuwalinda raia na mali zao; wao wameamua kugeuka tawi la chama cha majambazi! Aibu gani hii!