Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Afu mbaya zaidi wanadili na tuishu tudogo,ila wamezid dharauIla wanachokifanya policcm, ni dharau sana kwa wananchi. Yaani badala ya kujikita kwenye majukumu yao ya msingi, ya kuwalinda raia na mali zao; wao wameamua kugeuka tawi la chama cha majambazi! Aibu gani hii!
unapenda vurugu sanaKama alikataa kusimama lazima tairi zipasuliwe na dereva awekwe lockup, ajiandae kwenda mahakamani kwa kukataa amri halali ya kusimishwa na kukataa, wahuni kama hao siyo wa kufumbiwa macho.
Kama alikataa kusimama lazima tairi zipasuliwe na dereva awekwe lockup, ajiandae kwenda mahakamani kwa kukataa amri halali ya kusimishwa na kukataa, wahuni kama hao siyo wa kufumbiwa macho.
Ona hili shetani lililokiandika. Amelaanika mtu huyu na kizazi chake kwani moyo wake wakati wote unawaza uovu dhidi ya wanadamu wengine.Kama alikataa kusimama lazima tairi zipasuliwe na dereva awekwe lockup, ajiandae kwenda mahakamani kwa kukataa amri halali ya kusimishwa na kukataa, wahuni kama hao siyo wa kufumbiwa macho.
Acha ujinga wa kanisaniOna hili shetani lililokiandika. Amelaanika mtu huyu na kizazi chake kwani moyo wake wakati wote unawaza uovu dhidi ya wanadamu wengine.
We unaonaje?Na wewe unatumia VPN
Au upo nje ya Tanzania