CHADEMA haifai kabisa kuongoza nchi kwa sasa Tujipange haswa! Kuna Mkanganyiko

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Kuna vyama vya kuvipa Madaraka Ila siyo CHADEMA
1. Hii ilifaa aandike katibu, kuna hoja pia kua mmesusia chama mmemwachia Mrema.

2. Siku zote mnatuadress kwa press conference kwann hili hamjalifanyia press.

3. Ufafanuzi huu umetolewa kwa mujibu wa kikao kipi cha kamati kuu?

Kwani inakinzana na maneno ya viongozi wengine.
IMG_3077.jpeg
IMG_3078.jpeg

Timu ya watu 30 wako kazini kujibizana na lissu kwa mafumbo

Britanicca
 
Kuna kosa nalisubiria nipigie msumari wa mwisho kwenye kifo cha Chadema , huyu Mrema ana uhalali wa kumjibu Lissu
Chadema kinaenda Kufa na kikifa hakinyanyuki tena, Lissu and Co kina Heche n.k ni bora waandae escape plan mapema kama kwenda CHAUMA n.k ila sio ACT
Kwa Sasa tunaangalia mtu sio Chama
 
View attachment 3152221View attachment 3152222

Chadema acheni uwoga aisee,kwani hamthubutu kumtaja Lissu ambae ndiye aleibua hoja zote hizo ,mnaleta hapa ili tufanye nini?Lissu shikilia hapo hapo wakili MSOMI
 
Kuna kosa nalisubiria nipigie msumari wa mwisho kwenye kifo cha Chadema , huyu Mrema ana uhalali wa kumjibu Lissu
Chadema kinaenda Kufa na kikifa hakinyanyuki tena, Lissu and Co kina Heche n.k ni bora waandae escape plan mapema kama kwenda CHAUMA n.k ila sio ACT
Kwa Sasa tunaangalia mtu sio Chama
Popote atakaponde Lissu tuko nyuma yake kwa asilimia mia moja.
 
Kuna vyama vya kuvipa Madaraka Ila siyo CHADEMA
1. Hii ilifaa aandike katibu, kuna hoja pia kua mmesusia chama mmemwachia Mrema.

2. Siku zote mnatuadress kwa press conference kwann hili hamjalifanyia press.

3. Ufafanuzi huu umetolewa kwa mujibu wa kikao kipi cha kamati kuu?

Kwani inakinzana na maneno ya viongozi wengine.
View attachment 3152221View attachment 3152222
Timu ya watu 30 wako kazini kujibizana na lissu kwa mafumbo

Britanicca
Inavyoonekana Kuna mvurugano ndani ya Chadema. Kiini cha kuwepo kwa mvurugano huu huko Chadema kwa maoni yangu ni kutokana na namna Mwenyekiti wa Chama chao hicho Freeman Mbowe kukosa misimamo inayoeleweka kuhusiana na Siasa za nchi hii kwa sasa. Siyo siri hata kidogo, Mbowe akiwa Kama Kiongozi wa Chama Chao hicho, amekuwa ni mtu ambaye Hana msimamo unaoeleweka hali hii imesababisha mkwamo na kuyumba kwa Wanachama wa chama hicho.

Mbowe amekuwa ni mtu asiyeaminika tena kwa sasa ndani ya Chama Chao hicho, watu wengi kwanza wanamchukulia kama ni Mamluki wa Chama tawala ambaye amejipachika kwenye Vyama vya upinzani kwa 'kazi maalumu ya kuvuruga vyama vya upinzani' ili kukinufaisha chama tawala.

'Engine' ya treni ikiharibika mabehewa yote ya treni nayo huyumba na kusimama!
 
Kuna vyama vya kuvipa Madaraka Ila siyo CHADEMA
1. Hii ilifaa aandike katibu, kuna hoja pia kua mmesusia chama mmemwachia Mrema.

2. Siku zote mnatuadress kwa press conference kwann hili hamjalifanyia press.

3. Ufafanuzi huu umetolewa kwa mujibu wa kikao kipi cha kamati kuu?

Kwani inakinzana na maneno ya viongozi wengine.
View attachment 3152221View attachment 3152222
Timu ya watu 30 wako kazini kujibizana na lissu kwa mafumbo

Britanicca
sasa hayo mambo ya rushwa yanasemwa na makamu mwenyekiti wa chama unakuja kutuuliza sisi tulete ushahidi? ujinga namba moja wa muandishi wa barua hii kinachotakiwa amuandikie barua lissu ili aende akawape ushahidi wa rushwa anamuogopa nini?wakati kishasema hadharani siyo mara moja
 
Kama ukiamini chadema ni chama serious cha siasa basi ulibugi big time,hiyo ni saccos ya wachaga
 
sasa hayo mambo ya rushwa yanasemwa na makamu mwenyekiti wa chama unakuja kutuuliza sisi tulete ushahidi? ujinga namba moja wa muandishi wa barua hii kinachotakiwa amuandikie barua lissu ili aende akawape ushahidi wa rushwa anamuogopa nini?wakati kishasema hadharani siyo mara moja
Tunaposema kuwa hiki chama kimejaa vilaza muwe mnatuelewa ,leo Lissu anajibiwa kwa taarifa ya Umma?
 
Analutea taarifa ya umma kwa ajili gani ?wanmwogopa Lissu?
Mama ambaye ndio mlipaji wa chawa wote kamuita simba sasa akiunguruma kila kiumbe kinahangaika huko mafichoni! Wanatupoteza sana wananchi, kila tukijenga tumaini lazima kidudumtu kiibuke na kuharibu mbegu ya uwajibikaji inayoota! Pathetic

Yani Lissu alikuwa Bulyanhulu kutetea wachimbaji wadogo na LEAT wakati mrema na singo kigaila wanachuma mchicha kule mabondeni so hamna wa kumfix, is unfixable yani hata Mkapa alimjua na kumtambua. Hanaga kuremba huyu jamaa hata mdomo wake naamini unanuka kwa kweli nyeusi anaita nyeusi nk. Hamna wa kumshusha sio uvccm km tlatlaaa wala john mbatizaji wala wengine, so haya matamko yatapita tu bila damage yoyote na wananchi wanamuamini sana tu! Alimwambia jiwe dikteta uchwara live na alikuwepo itakuwa hawa, waliojificha uvunguni? Yatapita na atasimama
 
Kuna vyama vya kuvipa Madaraka Ila siyo CHADEMA
1. Hii ilifaa aandike katibu, kuna hoja pia kua mmesusia chama mmemwachia Mrema.

2. Siku zote mnatuadress kwa press conference kwann hili hamjalifanyia press.

3. Ufafanuzi huu umetolewa kwa mujibu wa kikao kipi cha kamati kuu?

Kwani inakinzana na maneno ya viongozi wengine.
View attachment 3152221View attachment 3152222
Timu ya watu 30 wako kazini kujibizana na lissu kwa mafumbo

Britanicca
migambo wanaruka na kukanyagana dah 🐒
 
Alafu mje na Uzi ccm wanaiba Kura ..
Chadema kitambo tushawaona hawako serious
Kipindi wanampokea lowasa ndio nilijua hakuna chama
Tokea kipindi kile mpk leo siwaamini chadema
 
Back
Top Bottom