KiteWakati wa Jakaya walilegezewa na walijisahau kiasi cha kuhatarisha amani ya taifa letu.
Wakati wa maandamano yao na operation Sangara zao watu wasio na hatia waliuwawa.
Sasa naona Mama Samia kwa huruma ameamua kuwalegezea lakini hawa sio watu maana ni wasahaulifu na huwa wanafanya mambo kwa mkumbo kama nyumbu. Soon watasahau.
Kama taifa tutakuja kukumbuka hawakupaswa kulegezewa.
Mkuu unaweza kututhibitishia pasipo shaka?Katika kundi hili la watu 100 walioshambulia mwanachadema , wamebaki watatu tu , sasa wewe endelea
View attachment 2144950
Siasa za uadui hazina maana. Wote sisi ni Watanzania, hakuna mtanzania bora kushinda mwingine. Tujizuie kipandikiza chuki. Let's cherish our differencesWakati wa Jakaya walilegezewa na walijisahau kiasi cha kuhatarisha amani ya taifa letu.
Wakati wa maandamano yao na operation Sangara zao watu wasio na hatia waliuwawa.
Sasa naona Mama Samia kwa huruma ameamua kuwalegezea lakini hawa sio watu maana ni wasahaulifu na huwa wanafanya mambo kwa mkumbo kama nyumbu. Soon watasahau.
Kama taifa tutakuja kukumbuka hawakupaswa kulegezewa.
Sijamaliza kusoma baada ya kuona ujielewi. Wewe nani mpaka uwapangie watu mambo yanayopaswa kuandamana na yasiyopaswa kuandamana? PUMBAVU!Amani inavunjwa na kundi la wezi kushika Dola na kutamani kula mpaka kamba ili ikatike wakwapue kila wanachokiona mbele yao.
Hivi Kwa mfano Kwenye siku ya Wanawake kule Iringa akina mama wa Chadema walifanya vurugu Gani?
Huoni kuwa palikua na upumbavu uliokuwa unafanywa na mavampire au mazimwi ndani ya CCM mkoa wa Iringa yaliyowapigia simu Polisi na kujaribu kuwatumia Polisi kuvuruga Sherehe za akina mama wa Chadema Kwa kutaka bendera zishushwe . Hapo nani mpumbavu na mvunja amani? Bila shaka mpumbavu na Lofa ni yule anayeona kuwa Bendera au kitambaa kupepea kwenye miti ni kuvunja amani na kuchukua Bunduki na kuua watu Kwa Sababu ya kupandisha vitambaa vyenye rangi nyeupe na nyekundu kwenye miti. Ujinga kabisa.
Tunataka katiba ambayo OCD akijiunga na Chama Cha siasa akiwa kwenye madaraka na kutumia Bunduki za serikali kuua wapinzani wake kisiasa atashitakiwa na kuwajibishwa kabla ya kuvuruga amani ya nchi.
Tunataka katiba mpya itakayomdhibiti Msinamizi wa uchaguzi anayevuruga uchaguzi jambo linaloweza kupoteza amani ya nchi Kwa sekunde Moja . Tuwadhibiti wanaofanya uhalifu wa kibinafamu Kwa sababu ya kutaka uteuzi. Wawe ndani ya vyombo vya Dola au nje ya vyombo vya Dola.
Lakini pia tunataka katiba Mpya inayoweka usawa wa kisiasa lakini unaoondoa maandamano ya kisiasa na kijinga baada ya uchaguzi. Hatutaki maandamano ya kupinga nje ya mahakama. Tuwe na katiba mpya inayotoa uhuru wa kugombea ,kumchagua mtu Kwa haki na kufungua kesi Kwa mgombea yeyote hata Kwa matokeo ya urais lakini masuala ya maandamani yasiyo na ukomo ni upumbavu.
Hayo yaondolewe kwenye Katiba kabisa na itamke wazi kuwa maandamano yatakua ni Kwa ajili ya mambo ya kitaifa TU kama vile mwenge na maandamano ya kuchangisha jambo Fulani bila kuhusisha vyama vya siasa.
Maandamano ya kisiasa iwe ni marufuku kabisa.
Yanayotokea kule Afrika ya kusini na Marekani hatutaki kuyaona kwenye nchi yetu ni uharibifu.
Tushindane Kwa haki ila uchaguzi ukipita na kama mahakama imetoa hukumu juu ya kesi zinazofunguliwa za uchaguzi iwe ndio basi hakuna Tena kuitisha maandamano.
Taifa letu ni muhimu kuliko haya mavyama yaliyoundwa na watu Wawili au watatu au hata mtu mmoja kama ilivyo ACT Wazalendo. Ni Chama kilichoundwa na mtu mmoja. Sasa mtu mmoja aunde chama chake Kwa malengo yake halafu na akili zako uone kuwa hicho Chama ni Cha muhimu kuliko Taifa. Mwisho wa huu ujinga wa kuthamini Chama kuliko Taifa uishie 2022 . Tubadilike na kuweka utaifa mbele.
CCM itakufa kifo Cha Mende siku sio nyingi.
Tuataanza kuweka Dua na albadiri Kwa kila uonevu ndani ya nchi hii.
Hatutaki kabisa kuona watu wachache wanawatumia watoto wa maskini ndani ya vyombo vya Dola kuumiza maskini wenzao Kwa kutumia Bunduki Kwa manufaa ya watawala manilonea na familia zao zinazosoma Huko Ukrein na Canada ili waje watawale na kula Bata na marafiki zao wa kizungu na Kiarabu.
Idugunde njoo huku Kuna ujumbe wako🤪
Huyo kama hakuwa sehemu ya timu kesi mchongo hata sijui🤔Ila shost una gubu san na CDM
Ila janga zaidi ni wanachukua chako mapema akiwepo na kiturealChadema ni janga
Nani alimua.Irrelevant message
Ameanza!Unawashwa.
Hao watu wasiokuwa na hatia waliuliwa na CDM au POLISIccm?Badala ya kuwashughulikia wauaji unawalaumu wahanga?Sifahamu wapinzani wa CDM huwa mnawazaje?Wakati wa Jakaya walilegezewa na walijisahau kiasi cha kuhatarisha amani ya taifa letu.
Wakati wa maandamano yao na operation Sangara zao watu wasio na hatia waliuwawa.
Sasa naona Mama Samia kwa huruma ameamua kuwalegezea lakini hawa sio watu maana ni wasahaulifu na huwa wanafanya mambo kwa mkumbo kama nyumbu. Soon watasahau.
Kama taifa tutakuja kukumbuka hawakupaswa kulegezewa.
Idugunde ni jina la kambwa koko fulani ka hapa bariadi! vp umemaliza kubweka kike!!??Wakati wa Jakaya walilegezewa na walijisahau kiasi cha kuhatarisha amani ya taifa letu.
Wakati wa maandamano yao na operation Sangara zao watu wasio na hatia waliuwawa.
Sasa naona Mama Samia kwa huruma ameamua kuwalegezea lakini hawa sio watu maana ni wasahaulifu na huwa wanafanya mambo kwa mkumbo kama nyumbu. Soon watasahau.
Kama taifa tutakuja kukumbuka hawakupaswa kulegezewa.
Siku ya Wanawake Duniani ilikuwa mfano mbaya kwa Chadema. Hilo lilikuwa tukio la kitaifa (au kiulimwengu kwa jumla). Vipi Chadema waweke bendera za Chama kama vile ilikuwa shughuli ya Chama? Jee, hiyo inamaanisha wanawake wasiokuwa wanachama wa Chadema hawakupaswa kuwepo hapo? Polisi walipowaambia waondoe bendera zao waligoma katakata. Kama Polisi wangetumia nguvu tungerudi kulekule tutokapo. Huu ni uchokozi usio na mantiki. Kwa kuwa shughuli haikuwa ya kichama bali inahusisha wanawake wote kwa ujumla, haikuwa busara kuweka bendera za Chama na kuanza kuwadhihaki Polisi waliokuwa wakitekeleza kazi zao.Wakati wa Jakaya walilegezewa na walijisahau kiasi cha kuhatarisha amani ya taifa letu.
Wakati wa maandamano yao na operation Sangara zao watu wasio na hatia waliuwawa.
Sasa naona Mama Samia kwa huruma ameamua kuwalegezea lakini hawa sio watu maana ni wasahaulifu na huwa wanafanya mambo kwa mkumbo kama nyumbu. Soon watasahau.
Kama taifa tutakuja kukumbuka hawakupaswa kulegezewa.
Maandamano yanakusaidia nini au unafurahia kuona watoto wa maskini wakipigwa risasi na kufa Kwa mambo ya kipumbavu.Sijamaliza kusoma baada ya kuona ujielewi. Wewe nani mpaka uwapangie watu mambo yanayopaswa kuandamana na yasiyopaswa kuandamana? PUMBAVU!
Bandiko lefu sijamaliza, jalibu kutofautisha maandamano ya AMANI na FUJO. Yale ya afrika ya kusini, hayakuwa maandamano. Ilikuwa ni kufanya vujoMaandamano yanakusaidia nini au unafurahia kuona watoto wa maskini wakipigwa risasi na kufa Kwa mambo ya kipumbavu.
MADUKA,MAGARI MASUPAMAKETI ,BARABARA NA WATU KUPORWA NA KUVULIWA NGUO YAKITOKEA HAPA TANZANIA KIKATIBA KAMA KULE AFRIKA KUSINI HUONI KUWA NCHI HAITATAWALIKA TENA KUTOKANA NA UMASKINI MKUBWA ULIOPO. HIVI UTAINGIA KWENYE DUKA LA MTU UPORE VITU ,UCHOME GARI LAKE MOTO HALAFU AKUANGALIE TU KAMA MWIGIZAJI . ?? HAIWEZEKANI ! HAPA TANZANIA MTU ATATOKA NA PANGA AU BUNDUKI NA KUAMUA KUFYEKA WATU KAMA MITI.
Wanasiasa ni wapumbavu na malofa wanaopenda madaraka kupitia damu za watu. Blallful ! Hakuna Tena nafasi ya wapumbavu kutuletea siasa za vichaa barabarani.
Hivi huoni kuwa kuandamana kunaleta uvunjifu wa amani kila mahali Duniani na wanaoumizwa ni maskini na wanyonge. Wewe kama sio mpumbavu na Lofa mbona hujawahi kuandamana kwenye mambo ya Msingi na hasa yanayoigusa jamii nzima zaidi ya kujificha nyuma ya pazia la jamii foram na kuhamasisha uhuru wa kipumbavu wa kuandamana.
Lisu alipigwa risasi hukuandamana.
Wabunge wakawa wanatolewa bungeni kibabe na kupigwa marungu hukuandamana.
Sukari ikapanda Bei kwenye nchi yenye viwanda zaidi ya vitano hukuandamana.
Korosho ya Watanzania wa kusini ikataifishwa kibabe hukuandamana.
Mbowe akavunjwa mguu hukuandamana.
Mbowe akazushiwa mashtaka ya uongo hukuandamana.
Wafanyakazi hawakupandishwa mishahara miaka mitano hukuandamana .
Wanafunzi walioitwa vilaza wakafukizwa Chuo kama tumbili hukuandamana.
Ubaguzi kwenye mikopo ya vyuo hukuandamana.
Ubaguzi na mfumo usio sawa wa Elimu na unaowafanya maskini kusoma kwenye mazingira magumu na kupata Elimu duni huandamani.
Bima ya Afya kupewa baadhi ya watu Tena wenye uwezo ilihali maskini wakiikosa.Huandamani.
Mikutano ya kisasa ikapigwa marufuku mpaka ya ndani hukuandamana.
Unataka ukaandamane Kwa sababu ipi na Kwa urahisi TU wa Kikatiba. Hapana lazima mazingira ya kuandamana yawe magumu ili anayetaka kuandamana awe ni mtu aliyejitoa kweli kweli sio ubababaishaji wa kutafuta umaarufu.
Kwa mambo yote yaliyotokea ni WAZI KUWA WATANZANIA HAWATAKA MAMBO YA MAANDAMANO.
NA KWENYE KATIBA MPYA HAWAYATAKI.
WATANZANIA WANGETAKA MAANDAMANO WANGEANDAMANA.