Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Ukisikia kauli na kejeli zake za leo unaweza kudhani alizuka tu, kumbe tumemlea na kumfunda wenyewe.
View attachment 1269484
Ukisikia kauli na kejeli zake za leo unaweza kudhani alizuka tu , kumbe tumemlea na kumfunda wenyewe .
alikamatwa na pingu tukamsaidiaLakini alitimiza kazi aliyotumwa
Ameamua kula na kipofu , kumbuka kwamba hata DED aliyemtukana kishamuachaKwa hiyo tabia alizo nazo sasa, ni kutokana na mafunzo mliyompa? Na kwa mantiki hiyo mnapaswa kujivunia!
Yaani washabiki wa siasa za vyama kazi kweli.
Aliyemchagua anamatatizo zaidi yakeKwa hiyo tabia alizo nazo sasa, ni kutokana na mafunzo mliyompa? Na kwa mantiki hiyo mnapaswa kujivunia!
Yaani washabiki wa siasa za vyama kazi kweli.
Una akili mno !huu ni mfano hai kuwa walioko ccm hasa wenye kutafuna kipande kikubwa cha keki ya nchi si kweli kuwa wana mapenzi na ccm bali wapo kimaslahi zaidi.
alikamatwa na pingu tukamsaidia
Iko wazi sana hiiNi vigumu sana kutoka kimaisha bila kupita Bavicha
Aliyemteua sio chagua. Haya maneno mawili sijui yanawachanganya nini!Aliyemchagua anamatatizo zaidi yake
Kumbe vyama vya siasa vina mashabiki basi sawaKwa hiyo tabia alizo nazo sasa, ni kutokana na mafunzo mliyompa? Na kwa mantiki hiyo mnapaswa kujivunia!
Yaani washabiki wa siasa za vyama kazi kweli.