Chadema haikwepeki, wanazidi kuumbuka. Mwingine huyu hapa

Kwa hiyo tabia alizo nazo sasa, ni kutokana na mafunzo mliyompa? Na kwa mantiki hiyo mnapaswa kujivunia!

Yaani washabiki wa siasa za vyama kazi kweli.
 
Ameamua kula na kipofu , kumbuka kwamba hata DED aliyemtukana kishamuacha
 
Jerry njoo na ile ID yako feki tujadili
 
Kwa hiyo tabia alizo nazo sasa, ni kutokana na mafunzo mliyompa? Na kwa mantiki hiyo mnapaswa kujivunia!

Yaani washabiki wa siasa za vyama kazi kweli.
Kumbe vyama vya siasa vina mashabiki basi sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…