CHADEMA haina legitimacy ya kuokosoa Serikali hata kama kuna mapungufu ya kukabiliana na majanga. Kama Mbowe alitafuna bil 10 za chama. Hamfai kabisa

Kama unadhambi ya ubadhirofu wa pesa za umma ambazo kama Chadema wasingelipwa ruzuku na kuzitafuna taifa lingenunua vifaa vya uokoz...
CCM na wafuas wao yote yameshakuwa mazezetazezeta tu yan empty set na mkindelea hivi 2025 huyo mamayenu lazima mumsindikize kibanda maiti.
 
Watanzania wengi ni Domo mzeee tuuu

Huna ushaidi

Unaongea tuu nawe uonekane umeongea

Wewe sio CAG ,,

Yamkini hujui CHADEMA ni chombo cha Uma kinachoendeshwa na kodi za wananchi

Hivyo ukaguzi hufanyika .

Hawajai kupata hati chafuu

Hata siku moja

Sasa nakushangaa
Nadhani IQ yako ina shida
 
Yaani wewe ni mpumbavu mkubwa wa Kwanza,
 
Kwanza Leo mwaka mwaka tunaenda wa3 hatuna ruzuku na mbo Yako pouwa kabisa
 
Umekaa zako hujatukana kutwa nzima unamshukuru Muumba wako mara Kuna Simblisi yenye mimba changa inapost utumbo, basi unajikuta tu unatukana na kuharibu swaumu Yako. Wewe mbwa nimekutukana
 
Tatizo la ujinga ni kubwa sana hapa nchini,yanapozungumziwa masuala serious wewe unaleta habari za chama!

Umeme unasumbua,maji yanasuasua lakini unataka kutuaminisha tatizo sio la serikali ni la upinzani.Itabidi upimwe afya ya akili mkuu
 
KWA hio waliokufa ni Chadema pekee!?hakuna wanaccm kama mimi na wasio na vyama mule kwenye ajali!?
 
CHADEMA ndio Chama Kikuu cha UPINZANI kina haki ya kuikosoa Serikali naona una Ufahamu FINYU sana
CCM na Serikali yake imefanya UZEMBE MKUBWA kwenye ZOEZI ZIMA LA UOKOAJI hawakwepi lawama
 

Kwa akili hizi ndio maana tumerudi uchumi wa Chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…