Uchaguzi 2020 CHADEMA haina pesa za kampeni, tuongeze nguvu za kuwachangia

Yes, upo makini. Mara kadhaa chadema ambao sio chadema lialia wale ambao kila kitu cha chadema kwao safi, tumekuwa tushauri namna ya mgombea wetu wa uraisi abadili aina ya kampeni zake lakini tunaambulia matusi.
Ila kwa kampeni zake zile anazofanya, KAMWE HAWEZI KUMSHINDA HATA ROBO MAGUFULI
 
Havipewi, na hata kama vingepewa kuna wajanja wachache kwenye chama chetu ni mabingwa wa kuzitafuna.
Tuongoze michango, mwa sababu zikiwa nyingi sana hawawezi kutafuna zote
Hahaha.. nimependa theory yako.. kwamba ikiwa nyingi watakula kiasi Chao na Baki wapereke kwenye kampeini.
 
Ndio hivyo pesa zinaliwa na wajanja wachache, ila kuna wale ambao wapo ndani ndani huko vijijini hawaelewi chochote wapewe tu msaada wa kipesa.
Acha upuuzi, tuchange pesa ziende kuliwa na Mbowe na familia yake. Ile michango ya mil kila mbunge kwa ajili ya uchaguzi iko wapi?
 
Ndio hivyo pesa zinaliwa na wajanja wachache, ila kuna wale ambao wapo ndani ndani huko vijijini hawaelewi chochote wapewe tu msaada wa kipesa.
Acha zako wewe,Mbowe amekula pesa nyingi sana. Bil 8+ zimepotea,zingekuwa zinatumika sasa hivi.
 
Ni kweli ila tukichanga nyingi zaidi hawezi kula zote. Akila zote tunamfunga jiwe shingoni
Acha zako wewe,Mbowe amekula pesa nyingi sana. Bil 8+ zimepotea,zingekuwa zinatumika sasa hivi.
 
JPM anafaa kuwa Nyampara wa barabara na sio Rais wa nchi!
 
Zile mlizopitishia haki za binadamu mmemaliza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…