Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Naomba kuuliza, kwani vyama vya siasa huwa havipewi pesa ya kampeni na serikali?
Hazitoshi, ni kidogo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kuuliza, kwani vyama vya siasa huwa havipewi pesa ya kampeni na serikali?
Ukweli kabisa mkuu, binafsi ukiondoa mapenzi makubwa niliyonayo Kwa JPM ni mpenzi pia wa Chadema Kwa mtu mmojammoja, kuna Watanzania wazuri kule wanafaa kuwa viongozi wetu na wanauwezo pia Ila sio Kwa upande wa Rais, kwenye swala la uraisi tuacheni mchezomchezo, JPM anatosha
Naweza kumchangia mgombea ubunge
Hahaha.. nimependa theory yako.. kwamba ikiwa nyingi watakula kiasi Chao na Baki wapereke kwenye kampeini.Havipewi, na hata kama vingepewa kuna wajanja wachache kwenye chama chetu ni mabingwa wa kuzitafuna.
Tuongoze michango, mwa sababu zikiwa nyingi sana hawawezi kutafuna zote
Hahaha.. nimependa theory yako.. kwamba ikiwa nyingi watakula kiasi Chao na Baki wapereke kwenye kampeini.Havipewi, na hata kama vingepewa kuna wajanja wachache kwenye chama chetu ni mabingwa wa kuzitafuna.
Tuongoze michango, mwa sababu zikiwa nyingi sana hawawezi kutafuna zote
Acha upuuzi, tuchange pesa ziende kuliwa na Mbowe na familia yake. Ile michango ya mil kila mbunge kwa ajili ya uchaguzi iko wapi?
Acha zako wewe,Mbowe amekula pesa nyingi sana. Bil 8+ zimepotea,zingekuwa zinatumika sasa hivi.Ndio hivyo pesa zinaliwa na wajanja wachache, ila kuna wale ambao wapo ndani ndani huko vijijini hawaelewi chochote wapewe tu msaada wa kipesa.
Nenda Kenya kwenu huko,toka lini Wanjiru ni mtanzania?Yaani wewe Mataga Leo hii ndio unajifanya Chadema?
Yaani wewe Mataga Leo hii ndio unajifanya Chadema?
Acha zako wewe,Mbowe amekula pesa nyingi sana. Bil 8+ zimepotea,zingekuwa zinatumika sasa hivi.
Hivi sabodo yupo wapi?haoni chama hakina ela!
JPM anafaa kuwa Nyampara wa barabara na sio Rais wa nchi!Ukweli kabisa mkuu, binafsi ukiondoa mapenzi makubwa niliyonayo Kwa JPM ni mpenzi pia wa Chadema Kwa mtu mmojammoja, kuna Watanzania wazuri kule wanafaa kuwa viongozi wetu na wanauwezo pia Ila sio Kwa upande wa Rais, kwenye swala la uraisi tuacheni mchezomchezo, JPM anatosha
Naweza kumchangia mgombea ubunge
Zile mlizopitishia haki za binadamu mmemaliza?Habari wadau wa jf, leo nipo kuwakumbusha wanachadema wenzetu juu ya muenendo wa chama kipindi hiki cha kampeni.
Mwanzo kabisa nilikuwa napinga kabisa watu kukichangia chama kwa maana hatujui hizo pesa zitatumikaje na pengine zinaweza kuishia mikononi mwa wajanja wachache kama ilivyo kwa miaka mingine.
Ila mimi ni binadamu na nina moyo wa huruma sana, siwezi kuweka msimamo kwa jambo ambalo najua linaenda au linamuumiza binadamu mwenzangu.
Naweka angalizo, wanaotakiwa kuchangiwa ni wale ambao hawakuwahi kuwa wabunge na wala sio viongozi wakubwa chamani.
Hali ya kifedha kwa chadema kwa sasa ni mbaya mno, haijawahi kutokea.
Chama kinatakiwa kufanya kampeni za kwenda mbali zaidi ili kuwafikia wananchi wengi, lakini hadi sasa imeshindikana kutokana na uhaba wa pesa unaokikumba chama chetu.
Hivi navyoongea kuna majimbo mengi sana(74) wagombea wa ubunge hawajaanza kampeni, hawa hawahusiani na wale waliokata rufaa ya kutoteuliwa.
Na tatizo la kutoanza kampeni ni uhaba wa pesa kwa maana hawama vitendea kazi kama magari na watu wa kuzunguka kuwasaidia kufanya hizo kampeni.
Ninajua watu wanataka mabadiliko, lakini pia wanahitaji kuwanua hao wanaotaka kuwaletea mabadiliko na ndio maana nzima ya kampeni inapokuja.
Hivyo ni lazima kwa mgombea wa upinzani kufanya kampeni, ila kwa hali iliyopo ninaona dalili nyingi sana za majimbo mengi ya chama chetu chadema kwenda chama tawala.
Tusije baadae kuanza kulalamika tumeibiwa kura wakati hadi sasa sehemu kubwa ya wagombea wetu hadi leo hawajaanza kampeni.
Hivyo kwa dhati ya moyo wangu, ninawaomba tuwachangie hawa watu ambao hawana kabisa rasilimali pesa.
Tuache kusema ruzuku imetumikaje kwa kwa kuwa wengi tunajua kilichotokea na pesa ilivyoliwa kijanja na baadhi ya viongozi wetu.
Chini ni picha ya mgombea wetu lissu alipokuwa zanzibar kwenye kampeni. Uchache huu wa watu pia ni sababu ya kukosekana pesa ambazo zingeweza kutumika kwa ajili ya matangazo ya kampeni na kufanya watu kuja wengi kwenye kampeni.
Hivyo tusaidie ili mambo yasiwe magumu zaidi ya yalivyo sasa.
Leo hii lissu alibidi awe kwenye kampeni mkoa fulani, lakini yupo kwake tegeta amelala
Hivi unajua uhuni wa huyu jamaa? Anakula zote na anaenda kunywea Konyagi.Ni kweli ila tukichanga nyingi zaidi hawezi kula zote. Akila zote tunamfunga jiwe shingoni
Hivi unajua uhuni wa huyu jamaa? Anakula zote na anaenda kunywea Konyagi.
Mimi sichangi g'o, kumnufaisha Mbowe na Joyce Mukya!Ni kweli ila safari hii tunakula nae sahani moja
Mimi sichangi g'o, kumnufaisha Mbowe na Joyce Mukya!