Uchaguzi 2020 CHADEMA haina pesa za kampeni, tuongeze nguvu za kuwachangia

Ni kweli haina pesa, ccm mnamtumia DPP, TAKUKURU, TRA, POLICE, MAHAKAMA na wengine kukusanya michango ya kampeni.
Rushwa aliyotoa Deo Mwanyika inatosha kurusha mikutano na kukodi magari kusomba watu kuja mikutanoni na kuwarejesha makwao.
 
Naona ccmavi mmekosa cha kuandika si mlale kama hamna kazi afu ukute na mwanaume mleta mada na una mke na watoto kabisa, nawaonea huruma familia yako kwa kuwa na baba, mme na mtoto mkude kama wewe
 
Na ukute umetoa mada na kujijibu mwenyewe hovyoo sana wewe mtoa mada
 
Wewe na mtoa mada mmeolewa kwingine, mnadai mapato na matumizi kwingine!! Ninyi ni michepuko?!
Jamani kwa vyovyote vile, tunataka mapato na matumizi ya sadaka zetuu. Msitudanganyeee. Hizi siozile mlizopiga za waviti maalum.
 
Naona ccmavi mmekosa cha kuandika si mlale kama hamna kazi afu ukute na mwanaume mleta mada na una mke na watoto kabisa, nawaonea huruma familia yako kwa kuwa na baba, mme na mtoto mkude kama wewe
Best comment
 
Mkuu weka mamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…