Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are sarcastic. Tunaendelea kuchangia, tena kwa nguvu. Wewe acha na haikuhusu.We changa wenzio wazile Kwa kisingizio cha kampeni ,watz hawawezi kukabidhi nchi Kwa wahuni..!
Uongo!! Ratiba ya wagombea inaonyesha kuwa CHADEMA hawana kampeni leo. Usidanganye watu.Leo hii lissu alibidi awe kwenye kampeni mkoa fulani, lakini yupo kwake tegeta amelala
Alidhani kampeni ni uleuanaharakati wake.Ila tuwaonee huruma, maji yashafika shingoni. Leo hii tunapozungumza hapa lissu yupo tegeta amelala. Walati ilibidi aende kwenye kampeni
Mnajua kujifariji 😂😂Picha za saa 4 asubuhi mkutano saa9 😀 😀 😀 😀
Uongo!! Ratiba ya wagombea inaonyesha kuwa CHADEMA hawana kampeni leo. Usidanganye watu.
HavipewiNaomba kuuliza, kwani vyama vya siasa huwa havipewi pesa ya kampeni na serikali?
Wewe na mtoa mada mmeolewa kwingine, mnadai mapato na matumizi kwingine!! Ninyi ni michepuko?!WAAMBIE TUNAWADAI MAPATO NA MATUMIZI YA ZILE SADAKA WANAZO TOZA KWENYE ZILE NDOO NYEUPE.
WASITUTANIE KABISAA.
Jamani kwa vyovyote vile, tunataka mapato na matumizi ya sadaka zetuu. Msitudanganyeee. Hizi siozile mlizopiga za waviti maalum.Wewe na mtoa mada mmeolewa kwingine, mnadai mapato na matumizi kwingine!! Ninyi ni michepuko?!
Inategemea pesa yako italiwa kwa stail ganHIVI UKIKICHANGIA CHAMA CHA SIASA UNAPATA THAWABU??
Best commentNaona ccmavi mmekosa cha kuandika si mlale kama hamna kazi afu ukute na mwanaume mleta mada na una mke na watoto kabisa, nawaonea huruma familia yako kwa kuwa na baba, mme na mtoto mkude kama wewe
Wakili msomi afya tete wanaenda nae Kwa step ndio maana leo wamempumzishaKwa nn leo wasiwe na kampeni? Jiongeze
Nafikiri ni utaratibu tu kwa kuwa hata CCM kutokana na ratiba hawatakuwa na kampeni tarehe 13.09.2020, si kwa kuwa hawana hela!Kwa nn leo wasiwe na kampeni? Jiongeze
Mkuu yaache mataahira yajibishane yenyewe kwa yenyeweYaani wewe Mataga Leo hii ndio unajifanya Chadema?
Mkuu weka mamba.Habari wadau wa jf, leo nipo kuwakumbusha wanachadema wenzetu juu ya muenendo wa chama kipindi hiki cha kampeni.
Mwanzo kabisa nilikuwa napinga kabisa watu kukichangia chama kwa maana hatujui hizo pesa zitatumikaje na pengine zinaweza kuishia mikononi mwa wajanja wachache kama ilivyo kwa miaka mingine.
Ila mimi ni binadamu na nina moyo wa huruma sana, siwezi kuweka msimamo kwa jambo ambalo najua linaenda au linamuumiza binadamu mwenzangu.
Naweka angalizo, wanaotakiwa kuchangiwa ni wale ambao hawakuwahi kuwa wabunge na wala sio viongozi wakubwa chamani.
Hali ya kifedha kwa chadema kwa sasa ni mbaya mno, haijawahi kutokea.
Chama kinatakiwa kufanya kampeni za kwenda mbali zaidi ili kuwafikia wananchi wengi, lakini hadi sasa imeshindikana kutokana na uhaba wa pesa unaokikumba chama chetu.
Hivi navyoongea kuna majimbo mengi sana(74) wagombea wa ubunge hawajaanza kampeni, hawa hawahusiani na wale waliokata rufaa ya kutoteuliwa.
Na tatizo la kutoanza kampeni ni uhaba wa pesa kwa maana hawama vitendea kazi kama magari na watu wa kuzunguka kuwasaidia kufanya hizo kampeni.
Ninajua watu wanataka mabadiliko, lakini pia wanahitaji kuwanua hao wanaotaka kuwaletea mabadiliko na ndio maana nzima ya kampeni inapokuja.
Hivyo ni lazima kwa mgombea wa upinzani kufanya kampeni, ila kwa hali iliyopo ninaona dalili nyingi sana za majimbo mengi ya chama chetu chadema kwenda chama tawala.
Tusije baadae kuanza kulalamika tumeibiwa kura wakati hadi sasa sehemu kubwa ya wagombea wetu hadi leo hawajaanza kampeni.
Hivyo kwa dhati ya moyo wangu, ninawaomba tuwachangie hawa watu ambao hawana kabisa rasilimali pesa.
Tuache kusema ruzuku imetumikaje kwa kwa kuwa wengi tunajua kilichotokea na pesa ilivyoliwa kijanja na baadhi ya viongozi wetu.
Chini ni picha ya mgombea wetu lissu alipokuwa zanzibar kwenye kampeni. Uchache huu wa watu pia ni sababu ya kukosekana pesa ambazo zingeweza kutumika kwa ajili ya matangazo ya kampeni na kufanya watu kuja wengi kwenye kampeni.
Hivyo tusaidie ili mambo yasiwe magumu zaidi ya yalivyo sasa.
Leo hii lissu alibidi awe kwenye kampeni mkoa fulani, lakini yupo kwake tegeta amelala