Uchaguzi 2020 CHADEMA haina pesa za kampeni, tuongeze nguvu za kuwachangia

Hivi magufuri hawezi wapatia kila chama 2 bil ya kufanya kamoeni ili tupate hoja pizani.hizo pesa nashauri wapewe kwa kusimamiwa yaani ujenzi wa majukwaa ,hamasa na usafiri kwa vyama vyote.
Nitamuona ni Muungwana sana kwa kuwapa pesa angalau 2 kwa vyama vyote ni kama 30bil pesa kidogo sana kwa awamu hii.
 

 
Hawa nao ni chadema?
 
Kwisha habari yake
 
Chama kinapata ruzuku..bado wabunge wanachangia..bado wabunge walipewa kiinua mgongo sasa shida zote hizi zinatoka wapi?.all in all nawapa pole
 
 
Mwa
Mwanamke mzuri haolewi kwa mahali ya msaada
 
Wanapata ruzuku
 
Hali ni tete, kama una chochote changia
Chama kinapata ruzuku..bado wabunge wanachangia..bado wabunge walipewa kiinua mgongo sasa shida zote hizi zinatoka wapi?.all in all nawapa pole
 
Chadema ni walaghai
 
Hivi hawa Chadema pesa zote za ruzuku walizokuwa wanapata zaidi ya bilioni tatu kila mwaka wamezipeleka wapi?
 
Na katika hili la kuomba michango, cdm itafanya tathmini ni jinsi gani inapendwa na wananchi.

waweke bakuli kwa meza.
Licha ya kupata ruzuku ya zaidi ya bilioni tatu kila mwaka bado kimekuwa chama cha kuombaomba baadaye wakipata urais litakuwa Taifa la kuombaomba.
 
Selikali ilipoweka masharti na kiwango cha mwisho kupokea pesa toka nje ndio chadema ilipopata pigo takatifu.

Hata zile bilion 6 zilizozuiwa na polisi toka ile tasisi inayojifanya ya kutetea watu, zilikuwa ziende chadema,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…