johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huo ndio ukweli Chadema haina Uwezo wa kusimamisha Wagombea Ubunge Majimbo yote achilia mbali kuweka Mawakala
Fikiria Majimbo kibao Wabunge wa CCM wanapita bila kupingwa maana yake kulikuwa hakuna washindani
Nini kifanyike?
Chadema ishushe Ruzuku hadi majimboni Ili kuhamasisha Wapiga kura badala ya Ruzuku yote kulipia Chopa wanayopanda Watu Wawili tu
Ahsanteni Sana 🐼