Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hao uliowataja akiwemo Masauni ambaye alifukuzwa UVCCM kwa kashfa ya aibu ya kufoji umri, Wanafahamu kwamba Chadema haitakuwa na mswalie Mtume, Mtu aliyefoji umri anawezaje kuteuliwa Waziri tena wa Mambo ya Ndani, wizara inayohitaji mtu mwaminifu?Kwa nini usiyaandike haya maneno kwa herufi kubwa!!
Kila mTanzania anajua hili. Yule 'Masabuni' Waziri wa Mapolisi anafanya yake, hakuna jibu. Haya ndiyo yanayotia wasiwasi kubwa. Maneppy naye anakuja kujaribu kupima kina...
Lakini ninalojua sasa na kuliamini, iwe CHADEMA au mwingineyo, CCM mwisho wao umewadia.
Nitanyamaza