Pre GE2025 CHADEMA haina Uwezo wa kuweka Mawakala kwenye vituo vyote vya Uchaguzi kwahiyo kilio cha kuibiwa kura hakitaisha hata wasipoibiwa!

Pre GE2025 CHADEMA haina Uwezo wa kuweka Mawakala kwenye vituo vyote vya Uchaguzi kwahiyo kilio cha kuibiwa kura hakitaisha hata wasipoibiwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa nini usiyaandike haya maneno kwa herufi kubwa!!

Kila mTanzania anajua hili. Yule 'Masabuni' Waziri wa Mapolisi anafanya yake, hakuna jibu. Haya ndiyo yanayotia wasiwasi kubwa. Maneppy naye anakuja kujaribu kupima kina...

Lakini ninalojua sasa na kuliamini, iwe CHADEMA au mwingineyo, CCM mwisho wao umewadia.

Nitanyamaza
Hao uliowataja akiwemo Masauni ambaye alifukuzwa UVCCM kwa kashfa ya aibu ya kufoji umri, Wanafahamu kwamba Chadema haitakuwa na mswalie Mtume, Mtu aliyefoji umri anawezaje kuteuliwa Waziri tena wa Mambo ya Ndani, wizara inayohitaji mtu mwaminifu?
 
Mtoa mada amekosea sana. Kura hazipaswi kuibiwa hata kama baadhi ya vyama au wagombea hawana mawakala. Mimi naona hili ni jambo la aibu sana hata kulijadili. Ukisikia kuichafua nchi basi mfano mmoja ni kama huu wizi wa kura tunaoujadili. Hivi adhabu kwa mtu aliyepatikana na hatia ya wizi wa kura ni kifungo miaka mingapi?
Mtoa mada bado ana akili za kijima.Akili zake haziko kwenye dunia ya wastarabu.Anajifanya hajui kua uchaguzi wowote unapaswa kua wa haki,anayeshinda ashinde na aliyeshindwa ashindwe kwasababu jukumu kubwa ni kuwatumia wananchi sio matumbo yao.
 
Hao uliowataja akiwemo Masauni ambaye alifukuzwa UVCCM kwa kashfa ya aibu ya kufoji umri, Wanafahamu kwamba Chadema haitakuwa na mswalie Mtume, Mtu aliyefoji umri anawezaje kuteuliwa Waziri tena wa Mambo ya Ndani, wizara inayohitaji mtu mwaminifu?
Lakini hawa ndio "askari wa miavuli" wanaotegemewa na 'chura Kiziwi'. Itakuwa ni ujinga wa ajabu sana kuwapuuza hawa wakati huu.
Hawa hawatanii. Hawa hali inayo wakabili ni "kufa na kupona"!
 
Iko hivyo duniani kote ndio sababu tunamshangaa Mchungaji Msigwa kukimbia Chadema kwa sababu ya kuibiwa kura
Msigwa hakuibiwa kura bali kura zake hazikutosha. Utaibiwaje kura kwenye uchaguzi wa wazi wa watu wasiozidi 200? Huyo ndugu yako amewekewa offer mezani ambayo hakuweza kuikataa kwa njaa yake. Kavuna hela ndefu akiwaacha nyie wafia chama mumebaki mnapiga miayo.
 
Hao uliowataja akiwemo Masauni ambaye alifukuzwa UVCCM kwa kashfa ya aibu ya kufoji umri, Wanafahamu kwamba Chadema haitakuwa na mswalie Mtume, Mtu aliyefoji umri anawezaje kuteuliwa Waziri tena wa Mambo ya Ndani, wizara inayohitaji mtu mwaminifu?
Msigwa ni form 4 failure!
 
Msigwa hakuibiwa kura bali kura zake hazikutosha. Utaibiwaje kura kwenye uchaguzi wa wazi wa watu wasiozidi 200? Huyo ndugu yako amewekewa offer mezani ambayo hakuweza kuikataa kwa njaa yake. Kavuna hela ndefu akiwaacha nyie wafia chama mumebaki mnapiga miayo.
Hakunaga Mwanaccm wa kumnunua Mwanasiasa mwepesi kama mchungaji Msigwa

Mchungaji alikasirika baada ya Tundu Lisu kumjoin Mbowe Karatu
 
Huo ndio ukweli Chadema haina Uwezo wa kusimamisha Wagombea Ubunge Majimbo yote achilia mbali kuweka Mawakala

Fikiria Majimbo kibao Wabunge wa CCM wanapita bila kupingwa maana yake kulikuwa hakuna washindani

Nini kifanyike?

Chadema ishushe Ruzuku hadi majimboni Ili kuhamasisha Wapiga kura badala ya Ruzuku yote kulipia Chopa wanayopanda Watu Wawili tu

Ahsanteni Sana 🐼
Uchaguzi ukifanyika 2025 CCM watapigwa show mpanka washangae , sio maneno yangu bali hata

Mkuu wa Wilaya wa kimataifa kutoka wilaya ya Kisarawe juzi amesema wajanja wajanja katika wilaya husika ,HATAWAPIGA SHOW mpaka washangae.

Uyu D.c ana maneno ya kihuni sana
 
Naona ccm wanaweza kutukana ila wapinzani ni kufutiwa.
Ila hawa mabinti wa uvccm naomba kuuliza ili
FB_IMG_1721410555941.jpg
 
Hakunaga Mwanaccm wa kumnunua Mwanasiasa mwepesi kama mchungaji Msigwa

Mchungaji alikasirika baada ya Tundu Lisu kumjoin Mbowe Karatu
Hiyo habari ya Lissu kumjoin Mbowe ni stori tu,kwani haina mantiki kabisa yaani Msigwa wa kumuwekea Lissu conditions? Msigwa kapigwa kono la nyani,si unajua masikini hana kiapo.
 
Msigwa ni form 4 failure!
Msigwa alikuwa beki tatu wa mchungaji mmoja toka SA na alivyorudi kwao akamchukua Msigwa kumsomesha theology ngazi ya certificate,na ndiyo chanzo cha kujiita Mchungaji lakini hajawahi kusimama madhabahuni ni tapeli tu.
 
Huo ndio ukweli Chadema haina Uwezo wa kusimamisha Wagombea Ubunge Majimbo yote achilia mbali kuweka Mawakala

Fikiria Majimbo kibao Wabunge wa CCM wanapita bila kupingwa maana yake kulikuwa hakuna washindani

Nini kifanyike?

Chadema ishushe Ruzuku hadi majimboni Ili kuhamasisha Wapiga kura badala ya Ruzuku yote kulipia Chopa wanayopanda Watu Wawili tu

Ahsanteni Sana 🐼
ACHA KUJIZIMA DATA HATA WATOTO WA PRIMARY WANAJUA CCM NI MAJIZI YA KURA.
 
Back
Top Bottom