johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wagombea bila Wanachama wa kuwalinda hao Wagombea ni kazi bureKasimu Majaliwa, Nape Nnauye, January Makamba, Riziwan Kikwete walipita bila kupingwa kwa vile Chadema haikuwa na wagombea? au unataka tufumue mambo ya aibu hapa? Waziri Mkuu wa Nchi gani ulisikia anateka Wagombea wengine?
Mpe ukweli huyu kenge! Anajifanyisha hajui uhuni uliofanyika 2020 na yule nduli!Kasimu Majaliwa, Nape Nnauye, January Makamba, Riziwan Kikwete walipita bila kupingwa kwa vile Chadema haikuwa na wagombea? au unataka tufumue mambo ya aibu hapa? Waziri Mkuu wa Nchi gani ulisikia anateka Wagombea wengine?
UWT huwa mnaandika kwa akili zenu au mnaandikiwa?Huo ndio ukweli Chadema haina Uwezo wa kusimamisha Wagombea Ubunge Majimbo yote achilia mbali kuweka Mawakala
Fikiria Majimbo kibao Wabunge wa CCM wanapita bila kupingwa maana yake kulikuwa hakuna washindani
Nini kifanyike?
Chadema ishushe Ruzuku hadi majimboni Ili kuhamasisha Wapiga kura badala ya Ruzuku yote kulipia Chopa wanayopanda Watu Wawili tu
Ahsanteni Sana ๐ผ
Huyu kasuku unadhani hajui ukweli? ukiona hivyo kuna posho UWT wamelipwaKasimu Majaliwa, Nape Nnauye, January Makamba, Riziwan Kikwete walipita bila kupingwa kwa vile Chadema haikuwa na wagombea? au unataka tufumue mambo ya aibu hapa? Waziri Mkuu wa Nchi gani ulisikia anateka Wagombea wengine?
Bila shakaHuyu kasuku unadhani hajui ukweli? ukiona hivyo kuna posho UWT wamelipwa
Hawa CHADEMA wamekuwa wababaishaji sana siku hizi. Kuna jambo haliko sawa ndani yao.Huo ndio ukweli Chadema haina Uwezo wa kusimamisha Wagombea Ubunge Majimbo yote achilia mbali kuweka Mawakala
Fikiria Majimbo kibao Wabunge wa CCM wanapita bila kupingwa maana yake kulikuwa hakuna washindani
Nini kifanyike?
Chadema ishushe Ruzuku hadi majimboni Ili kuhamasisha Wapiga kura badala ya Ruzuku yote kulipia Chopa wanayopanda Watu Wawili tu
Ahsanteni Sana ๐ผ
Kwa hiyo unaungana na bumunda Nape kuwa kweli CCM ni majizi yaliyokubuhu ya kura. Asante.Huo ndio ukweli Chadema haina Uwezo wa kusimamisha Wagombea Ubunge Majimbo yote achilia mbali kuweka Mawakala
Fikiria Majimbo kibao Wabunge wa CCM wanapita bila kupingwa maana yake kulikuwa hakuna washindani
Nini kifanyike?
Chadema ishushe Ruzuku hadi majimboni Ili kuhamasisha Wapiga kura badala ya Ruzuku yote kulipia Chopa wanayopanda Watu Wawili tu
Ahsanteni Sana ๐ผ
Tukiruhusu wagombea binafsi itakuwaje? Je, watakuwa na uwezo wa kuweka mawakala kila kituo? Kura zinatakiwa zisiibiwe hata kwa mgombea asiye na wakala.Huo ndio ukweli Chadema haina Uwezo wa kusimamisha Wagombea Ubunge Majimbo yote achilia mbali kuweka Mawakala
Fikiria Majimbo kibao Wabunge wa CCM wanapita bila kupingwa maana yake kulikuwa hakuna washindani
Nini kifanyike?
Chadema ishushe Ruzuku hadi majimboni Ili kuhamasisha Wapiga kura badala ya Ruzuku yote kulipia Chopa wanayopanda Watu Wawili tu
Ahsanteni Sana ๐ผ
Mkuu tunawezaje kuweka mawakala na wagombea leo kwa uchaguzi wa 2025? tupe mbinuHawa CHADEMA wamekuwa wababaishaji sana siku hizi. Kuna jambo haliko sawa ndani yao.
Haya maswala uliyo yaweka hapa ndiyo yangekuwa mstari wa mbele kuyashughulikia sasa hivi ndani ya chama, lakini ni kama hawakumbuki kabisa jukumu hilo.
Hawa wanasubiri kukaribishwa ndani ya serikali ya Bi 'Chura Kiziwi', hawana mpango tena wa kulikomboa taifa hili toka kwa mkoloni huyu CCM.
Unampigia mbuzi gitaaTukiruhusu wagombea binafsi itakuwaje? Je, watakuwa na uwezo wa kuweka mawakala kila kituo? Kura zinatakiwa zisiibiwe hata kwa mgombea asiye na wakala.
Hata Chadema walipata Fursa ya kuiba kura wanaiba kama ilivyofanyika Kanda ya Nyasa ๐Kwa hiyo unaungana na bumunda Nape kuwa kweli CCM ni majizi yaliyokubuhu ya kura. Asante.
Kuna tatizo baya la kukosa uaminifu. Wagombea au vyama hawatakiwi kuibiana kura. Wakati mwingine Ccm wana mawazo ya kijinga sana.Unampigia mbuzi gitaa
CCM chukueni huo ushauri wa kijinga aliowapeni Mch. Msigwa. Ndiyo maana Nape akapata ujasiri wa kusema yale!Huo ndio ukweli Chadema haina Uwezo wa kusimamisha Wagombea Ubunge Majimbo yote achilia mbali kuweka Mawakala
Fikiria Majimbo kibao Wabunge wa CCM wanapita bila kupingwa maana yake kulikuwa hakuna washindani
Nini kifanyike?
Chadema ishushe Ruzuku hadi majimboni Ili kuhamasisha Wapiga kura badala ya Ruzuku yote kulipia Chopa wanayopanda Watu Wawili tu
Ahsanteni Sana ๐ผ
Jo hivii mfano ukitakiwa uwe ni miongoni mwa mawakala wa vyama,utachakuwa kuwa wa chama gani?Tuongee ikiwa ni jambo la kutoka moyoni mwako.Huo ndio ukweli Chadema haina Uwezo wa kusimamisha Wagombea Ubunge Majimbo yote achilia mbali kuweka Mawakala
Fikiria Majimbo kibao Wabunge wa CCM wanapita bila kupingwa maana yake kulikuwa hakuna washindani
Nini kifanyike?
Chadema ishushe Ruzuku hadi majimboni Ili kuhamasisha Wapiga kura badala ya Ruzuku yote kulipia Chopa wanayopanda Watu Wawili tu
Ahsanteni Sana ๐ผ
ACT Wazalendo Pemba ๐Jo hivii mfano ukitakiwa uwe ni miongoni mwa mawakala wa vyama,utachakuwa kuwa wa chama gani?Tuongee ikiwa ni jambo la kutoka moyoni mwako.