Kwani hao mashabiki wa Yanga sio sehemu ya wapenzi na wanachama wa Chadema?Naumga mkono
Pale Yanga kwa mfano ujinga kama huu wa Covid 19 kamwe usingevumiliwa na wanachama na mashabiki
Wachagga wengi ni SimbaKwani hao mashabiki wa Yanga sio sehemu ya wapenzi na wanachama wa Chadema?
Kwanini wasihamishie hiyo spirit yao Chadema?
Kwa hiyo wanaokiuka taratibu za chama wasifukuzwe halafu Mbowe aliyempokea Lowassa afukuzwe kwa kosa gani?Tatizo la Chadema ni viongozi, huwezi kuwafukuza akina Halima Mdee ukawaacha Mwenyekiti na Makamu wake ambao walimleta Lowasa awe mgombea bila ridhaa ya wanachama. Katiba ya Chadema ni kwa ajili ya wanachama wa chini na si kwa viongozi wakuu wa chama.
Sijui unaelekea wapi bwashee..!!Wachagga wengi ni Simba
Kwa kosa la kukiuka utaratibu za chama pia.Kwa hiyo wanaokiuka taratibu za chama wasifukuzwe halafu Mbowe aliyempokea Lowassa afukuzwe kwa kosa gani?
Bwashee Yanga kuna wachagga wawili tu Davis Mosha na Freeman MboweSijui unaelekea wapi bwashee..!!
Hii sensa yako ulifanya mwaka gani?
Asante Kwa kushiriki.Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao.
Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii.
Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii.
Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo mioyoni mwa wananchi
Ila ww hahahaha ni burudani tosha.Wachagga wengi ni Simba
Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao.
Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii.
Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii.
Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo mioyoni mwa wananchi
Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao.
Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii.
Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii.
Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo mioyoni mwa wananchi
CHAWA mbona mnateseka sana 🤔🙄Tatizo la Chadema ni viongozi, huwezi kuwafukuza akina Halima Mdee ukawaacha Mwenyekiti na Makamu wake ambao walimleta Lowasa awe mgombea bila ridhaa ya wanachama. Katiba ya Chadema ni kwa ajili ya wanachama wa chini na si kwa viongozi wakuu wa chama.
Bro unayumba sana..!!! Wenzio walishasemaga huko nyuma kwamba ikifika wakati fulani CHADEMA itakufa, lakini ipo hadi leo... !! Hivyo wewe si wa kwanza kuropoka hayo.Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao.
Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii.
Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii.
Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo mioyoni mwa wananchi
Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao.
Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii.
Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii.
Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo mioyoni mwa wananchi
Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao.
Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii.
Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii.
Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo mioyoni mwa wananchi
Ujumbe unakuhusu mjomba!Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao.