CHADEMA haitaki wasomi?

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Tangua ujio wa Chadema zaidi ya miaka thelathini iliyopita, ni haswa chini ya uongoze wa Mzee Mbowe kumekuepo na snitofahamu kati ya viongozi wanohoji na ambao ni wasomi dhidi ya viongozi ambao hawako kwenye hilo kundi.

Tumeshuhudia wasomi nguli wakiondoka chadema kwa sababu za ajabu kabisa ,mfano halisi ni wafuatao:

1: Kitila Mkumbo
2: Prof. Safari
3: Dr. Wilbroad Slaa
4: Zitto Kabwe

Na kuna kila dalili pia Msomi Tundu Lissu atatuliwa muda si mrefu.

KULIKONI?
 
Inavyoonekana Kuna mvurugano ndani ya Chadema. Kiini cha kuwepo kwa mvurugano huu huko Chadema kwa maoni yangu ni kutokana na namna Mwenyekiti wa Chama chao hicho Freeman Mbowe kukosa misimamo inayoeleweka kuhusiana na Siasa za nchi hii kwa sasa. Siyo siri hata kidogo, Mbowe akiwa Kama Kiongozi wa Chama Chao hicho, amekuwa ni mtu ambaye Hana msimamo unaoeleweka hali hii imesababisha mkwamo na kuyumba kwa Wanachama wa chama hicho.

Mbowe amekuwa ni mtu asiyeaminika tena kwa sasa ndani ya Chama Chao hicho, watu wengi kwanza wanamchukulia kama ni Mamluki wa Chama tawala ambaye amejipachika kwenye Vyama vya upinzani kwa 'kazi maalumu ya kuvuruga vyama vya upinzani' ili kukinufaisha chama tawala.

'Engine' ya treni ikiharibika mabehewa yote ya treni nayo huyumba na kusimama!
 
hiyo ni ngo ya wachagga bro
 
Kati ya hao wasomi uliowataja, aliyeondoka CDM ni Prof. Safari tu wengine wote walinunuliwa na CCM.
 
Kati ya hao wasomi uliowataja, aliyeondoka CDM ni Prof. Safari tu wengine wote walinunuliwa na CCM.
Tuwekee ushahidi hapa ili kuthibitisha kuwa hupayuki hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…