CHADEMA haitaki wasomi?

CHADEMA haitaki wasomi?

Usomi wenye tija katika siasa haukwepeki,lakini dira ya siasa inaendana na madiliko yanayoikuba nchi yetu na kwinginepo.
 
Misukule ya SACCOS imeaminishwa kuwa kupiga makelele kama akina Lema ndio siasa 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Sio kweli mzee Sasa watatungaje Sheria bungeni wakiwa vilaza??
Utaratibu wa nchi yetu,ili uwe Diwani au mbunge lazima ujue kusoma na kuandika tu, nadhani kama sijakosea Rais ndiye anapaswa kuwa angalau na degree (naomba kusahihishwa kama ktk eneo la Rais)
 
Najua ndo maana nimesema wote wakiwa vilaza kama chadema itakuaje?
 
Back
Top Bottom