CHADEMA haitalipa kisasi kwa unyama na mateso makubwa wayopitishwa viongozi na wanachama wake

CHADEMA haitalipa kisasi kwa unyama na mateso makubwa wayopitishwa viongozi na wanachama wake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Sisi tunaamini kwamba baada ya muda mfupi ujao tutatwaa madaraka ya nchi yetu kwa njia ya halali kabisa, ninamaanisha kwamba tutaiondoa CCM madarakani na kuchukua uongozi wa nchi hii huku wananchi wakishangilia sana kwa kumshinda Mkoloni mweusi nchi nzima, hili halipingiki, kama ulikuwa hujui basi kuanzia muda huu chukua hiyo na uhifadhi kichwani mwako, NOTHING LASTS LONGER

Bali pamoja na ushindi mnono titakaoupata TUNAAHIDI KWAMBA HATUTALIPA KISASI CHOCHOTE KWA UNYAMA TULIOFANYIWA KWA MIAKA YOTE, hatutalipa kisasi kwa waliouawa, walioteswa, waliopewa ulemavu wala waliopotezwa, tutajikita kwenye ujenzi wa Tanzania mpya ili kuboresha maisha ya wananchi wetu WALIODHULUMIWA KWA MIAKA 60.

Visasi na Malipo ni KAZI YA MUNGU.

Lengo la uzi huu ni kuwatoa wasiwasi watu wote waliotumikishwa na watawala kuteka, kuua au kuwatesa na kuwanyanyasa wanachama na viongozi wa chadema kwamba sisi hatutahangaika na Mamluki Watumwa waliotumika kama mifugo kutesa raia wenzao, BALI TUNATOA WITO KWA KILA ALIYEHUSIKA KUTUBU ILI AEPUKE GHADHABU ZA MUNGU

%22Hatufanyi_kazi_ya_visasi%2C_hiyo_ni_kazi_ya_Mungu.%22_Mhe._Freeman_Mbowe%0A%0A%23NukuuMbowe...jpg
 
CCM uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana,bila kujijua wameongeza uwezo wa watu kufikiri,(thinking outside the box),kupambana na hali ngumu ya maisha kwa namna tofauti, iliyo/inayosababishwa na CCM, mfaidika wa hili ni Mimi mwenyewe nimekiongezea nyama za kutosha kitabu changu cha ujasiriamali ambapo nimegundua kwamba serikali ndiyo chanzo kikuu cha kuua biashara, asilimia 80% ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mjasiriamali, cha ajabu kwa Tanzania asilimia 20% inanguvu ya kuua biashara (20% is political factors, socio-demographic variables and physical factors) many business have suffered because of uncertainty policies and herding behaviour 'Herding behaviour is an occurrence of thoughtful people suspending their individual reasoning because of fear, in this case, is a fear of self-Absorbed group or leaders'
 
Sisi tumeamua kusamehe
Hatutatenda haki, mfano hatutatenda haki kama hatutawachukulia hatua za kisheria waliogawana hela za ESCROW, hatutamtendea haki TL kama hatutawachukulia hatua za kisheria waliompiga risasi, etc, etc.

Kuna mambo yaliyotendeka katika nchi hii kama uongozi wowote ulio

Utakaokuwa madarakani, uwe wa CCM au CHADEMA, kama hautachukua hatua za kisheria kwa mambo hayo, eti kwa kisingizio cha kutolipa kisasi, ni kuwakosea wananchi kiasi kikubwa mno mno. Ndio maana JPM pamoja na udhaifu wake mkubwa, alipata umaarufu sana alipoonyesha dalili ya kutaka kufanya hivi. Lakini asingefanikiwa kwani alikuwa CCM ambao ni chanzo cha uozo huu.
 
Sisi Tunaamini kwamba baada ya muda mfupi ujao tutatwaa madaraka ya nchi yetu kwa njia ya halali kabisa , Ninamaanisha kwamba tutaiondoa ccm madarakani na kuchukua uongozi wa nchi hii huku wananchi wakishangilia sana kwa kumshinda Mkoloni mweusi nchi nzima , hili halipingiki , kama ulikuwa hujui basi kuanzia muda huu chukua hiyo na uhifadhi kichwani mwako , NOTHING LASTS LONGER .

Bali pamoja na ushindi mnono titakaoupata TUNAAHIDI KWAMBA HATUTALIPA KISASI CHOCHOTE KWA UNYAMA TULIOFANYIWA KWA MIAKA YOTE , hatutalipa kisasi kwa waliouawa , walioteswa , waliopewa ulemavu wala waliopotezwa , tutajikita kwenye ujenzi wa Tanzania mpya ili kuboresha maisha ya wananchi wetu WALIODHULUMIWA KWA MIAKA 60 .

Visasi na Malipo ni KAZI YA MUNGU .

Lengo la uzi huu ni kuwatoa wasiwasi watu wote waliotumikishwa na watawala kuteka , kuua au kuwatesa na kuwanyanyasa wanachama na viongozi wa chadema kwamba sisi hatutahangaika na Mamluki Watumwa waliotumika kama mifugo kutesa raia wenzao , BALI TUNATOA WITO KWA KILA ALIYEHUSIKA KUTUBU ILI AEPUKE GHADHABU ZA MUNGU

View attachment 2015763
Hakika haya ni maneno ya busara sana kutoka kwa mtu makini.
 
Back
Top Bottom