CHADEMA haitalipa kisasi kwa unyama na mateso makubwa wayopitishwa viongozi na wanachama wake

Nothing lasts longer!!![emoji56] Mbona ccm imelast veeerrryyy longer na inaendelea kulast longest. Nafikiri ungesema NOTHING LASTS FOREVER
Hili ni jukwaa la siasa kama unataka lugha lifuate jukwaa lake.
 
And Mandela never won. Wake up assh.ole.

Was having a Bkack president, the only thing South Africans fought for ??

Ardhi na uchumi wote bado ni mali ya MZUNGU.

Amka usingizini
Daima watumishi wa sheitwani upinga mawazo ya Mungu kama wewe
 
Nakubaliana kabisa na wewe lakini sheria lazima ifuate mkondo wake ili wale watakaopewa dhamana ya kutumikia Taifa hili wasije wakafanya yaliyofanywa na akina Siro , Moroto, Kingai Mshana R. I. P na Mambosasa, lazima kama Taifa tujue ni kwanini waliwafanyia Watanzania wezao hivyo
 
Huna akili kabisa
 
Naungana na wewe KWA asilimia mia,itakua ni jukum letu tu kutafuta pesa Ili kutoa kifuta machozi KWA watanzania walioumizwa,ndugu zao kuuwawa, waliobambikiwa KESI na kuwa Magerezani na maisha yao kuaribika,

Moyo wangu unaamani Sana maana utawala wa ccm umefika mwisho.

Kama wamefumba macho wasikie, Mungu kaisha futa utawala wa nchi hii chini ya ccm, alama za nyakati zote zipo wazi,
 
Amina

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Basi kheri muhimu ni mipango na mikakati kitu ambacho ni tatizo kwa Chadema, CCM wana mipango hadi ya mwaka 3000.

Mkiwa mmepanga vitu vizuri kwanini msishinde? Jipangeni mshawishi wanachama kupiga kura sio kupata washabiki ambao kwenye mikutano wanajaa siku za kupiga kura hawaonekani, tena hata vitambulisho vya kupigia kura hawana.
 
Mengine wamejitakia wenyewe na wametumia nguvu nyingi kujitia hatiani kwa jinai.
Kuna baadhi wanaona kupambana na vyombo vya usalama ndio uanaharakati.
Waambieni wanatesa familia zao sisi wananchi hatuna mpango kabisa hata wakifungwa.
 
Unawaza kitoto sana

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…