Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
1. Mlichokivuna kwenye maandamano yaliyoitishwa mikoa yote kwa kukosa watu, ni dalili kuwa hakuna Mtanzania anawaelewa nini mnataka. Watanzania wanaunga mkono Serikali ya awamu ya sita inavyotekeleza miradi ya Maendeleo.
2. Mnachokivuna kwenye mikutano yenu inayoendeshwa na Lissu kwa kukosa watu hadi kufikia kutokuwa na agenda ya kudumu, jueni kuwa sasa ni Watanzania hawataki uongo. Agenda ya Muungano inawapoteza zaidi.
3. Uchaguzi unaondelea umetoa picha ya kuwa kwa sasa Chama kinaenda shimoni.
4. Kushindika kwa Michango ya kumchangia Makamu gari iwape kuona watu hawataki uongo uongo
Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan