Pre GE2025 CHADEMA, hali ngumu mnayopitia sasa ndio uhalisia itakavyokuwa kwenye uchaguzi 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1. Mlichokivuna kwenye maandamano yaliyoitishwa mikoa yote kwa kukosa watu, ni dalili kuwa hakuna Mtanzania anawaelewa nini mnataka. Watanzania wanaunga mkono Serikali ya awamu ya sita inavyotekeleza miradi ya Maendeleo.

2. Mnachokivuna kwenye mikutano yenu inayoendeshwa na Lissu kwa kukosa watu hadi kufikia kutokuwa na agenda ya kudumu, jueni kuwa sasa ni Watanzania hawataki uongo. Agenda ya Muungano inawapoteza zaidi.

3. Uchaguzi unaondelea umetoa picha ya kuwa kwa sasa Chama kinaenda shimoni.

4. Kushindika kwa Michango ya kumchangia Makamu gari iwape kuona watu hawataki uongo uongo

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania

Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Ukiona watu hawajitokezi kwenye maandamano ya Chadema haina maana kwamba wanaiunga mkono CCM la hasha. 👁

Hali ni ngumu mtaani , Watu wapo bize kujitafutia riziki ili mkono uende Kinywani 👁
 
1. Mlichokivuna kwenye maandamano yaliyoitishwa mikoa yote kwa kukosa watu, ni dalili kuwa hakuna Mtanzania anawaelewa nini mnataka. Watanzania wanaunga mkono Serikali ya awamu ya sita inavyotekeleza miradi ya Maendeleo.

2. Mnachokivuna kwenye mikutano yenu inayoendeshwa na Lissu kwa kukosa watu hadi kufikia kutokuwa na agenda ya kudumu, jueni kuwa sasa ni Watanzania hawataki uongo. Agenda ya Muungano inawapoteza zaidi.

3. Uchaguzi unaondelea umetoa picha ya kuwa kwa sasa Chama kinaenda shimoni.

4. Kushindika kwa Michango ya kumchangia Makamu gari iwape kuona watu hawataki uongo uongo

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania

Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Tangu Lissu amtoe Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Kinana mafichoni kuja kujibu hoja na akashindwa, wengine wanaokuja kuiongelea CHADEMA nawaona vikatuni.
 
1. Mlichokivuna kwenye maandamano yaliyoitishwa mikoa yote kwa kukosa watu, ni dalili kuwa hakuna Mtanzania anawaelewa nini mnataka. Watanzania wanaunga mkono Serikali ya awamu ya sita inavyotekeleza miradi ya Maendeleo.

2. Mnachokivuna kwenye mikutano yenu inayoendeshwa na Lissu kwa kukosa watu hadi kufikia kutokuwa na agenda ya kudumu, jueni kuwa sasa ni Watanzania hawataki uongo. Agenda ya Muungano inawapoteza zaidi.

3. Uchaguzi unaondelea umetoa picha ya kuwa kwa sasa Chama kinaenda shimoni.

4. Kushindika kwa Michango ya kumchangia Makamu gari iwape kuona watu hawataki uongo uongo

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania

Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Kuwa mkweli , ulitaka watu wangapi wahudhurie maandamano ya CHADEMA?.bmbona watu wengi walijitokeza. Punguza uongo. Kama huna Cha kupost Kaa na mume wako umfulie nguo.
 
Shida yako nini?.Mwanaume mzima kubwabwaja ujinga huoni ata aibu.Subiri uchaguzi ukifika wananchi wataamua,acha kuwalisha maneno.Maboss zako wako busy kuangalia jinsi watakavyoweka mpira kwapani kwakutegemea mbeleko wewe unakuja kubwabwaja hapa.
 
C
1. Mlichokivuna kwenye maandamano yaliyoitishwa mikoa yote kwa kukosa watu, ni dalili kuwa hakuna Mtanzania anawaelewa nini mnataka. Watanzania wanaunga mkono Serikali ya awamu ya sita inavyotekeleza miradi ya Maendeleo.

2. Mnachokivuna kwenye mikutano yenu inayoendeshwa na Lissu kwa kukosa watu hadi kufikia kutokuwa na agenda ya kudumu, jueni kuwa sasa ni Watanzania hawataki uongo. Agenda ya Muungano inawapoteza zaidi.

3. Uchaguzi unaondelea umetoa picha ya kuwa kwa sasa Chama kinaenda shimoni.

4. Kushindika kwa Michango ya kumchangia Makamu gari iwape kuona watu hawataki uongo uongo

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania

Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
CHADEMA wako vizuri tu. Tatizo letu sisi ni kutegemea vyombo vya dola kama polisi kama alivyowahi kuonya JK huko nyuma.
 
Hali ngumu tunapitia sisi wananchi,siyo chadema.
 
CCM ni chama kilichopo madarakani. Hata wao wanatumia nguvu sana kujaza mikutano yao. Ni ngumu sana miaka hii kupoteza muda kumsikiliza mtu ambaye yeye na familia yake wamefanikiwa kupitia chama, wakati wewe haujui hatma ya maisha yako na familia yako. Tegemea 2025 hata wapiga kura watapungua kwa idadi. Vilevile Lissu kwenye inshu ya muungano anahoja ya msingi anayoisema. Sasa hoja kama ile ikienda hadi mwakani CCM wanashindwa kujieleza wakati jamaa anatoa Maelezo mepesi yanayoeleweka tambua mama hapo atajikuta anashinda hata kwa 57%. Lissu anachofanya ni kutengeneza chuki kwenye kitu ambacho watu walilala na walikipotezea ila kiukweli kinamapungufu makubwa.
 
CHADEMA ni watanzania wenzetu ambao pia wanahitaji neno la faraja kwa wanayoyapitia. Mimi ninawasihi wasikate tamaa kwenye nyakati hizi ngumu ila nao wajishushe na kwenda kumwomba msamaha aliyekuwa hawara wa Dr Slaa kwa kumtelekeza pamoja na kwamba alikuwa mhanga wa maandamano ya Januari 5, 2011 kule Arusha. Pia Lema awaombe msamaha Bodaboda na kina mama wa Viccoba kwa kutamka kauli chafu ya kuwa kazi yao ni ya laana. WASIPOFANYA HAYA NILIYOWAAMBIA WASIMLAUMU MTU KWA ADHABU WATAKAYOPATA KWENYE SANDUKU LA KURA.
lema kavuruga arusha halafu kawakimbia alijuwa wazi kabisa kwa aliyowatukana wana arusha hakuna wa kumpatia kura kaharisha kashindwa hata kufukia uharisho wake aibu lema
 
Maandamano ni haki, wamepewa mpaka ulinzi, sioni shida, shida ni tunaandamana tuna hoja ya Msingi?
 
Lissu aache unafki na kudanganywa atengeneze lile gari. Eti makumbusho, anayeweza kufanya hivyo ni serikali. Ndg zake bd ni maskini, ht kwa wazazi wake bd pa kimaskini. Aachane na siasa za kishamba, yaliyopita yamepita ashukuru Mungu yuko hai. Aliyeokoa uhai wake Mzanzibari mh. TURKY, alieenda kumwona Nairobi ni aliyekuwa makamu wa rais ambaye ni mzanzibari. Hakuna hao anaowaita watanganyika waliodhubutu kukanyaga Nairobi. Walikuwa wapi? Sijui Dude Mnyagali, Mwabukusi na ajue Zanzibar ni Km 50 kutoka Dar, Mbeya ni zaidi ya Km 1500 kutoka Dar, wazanzibar ndio ndg zao watu wa Tanga, Wazaramo, Wadengereko, Wakwere, Wabondei siyo Wanyakyusa wala Wanyaturu. Taka×2 zilizojaa ubaguzi, eti wasomi.
Wanajificha kwenye kivuli cha katiba kufanya ubaguzi...Lakini Watanzania wamewapuuza
 
MAREHEMU ANAMSHAURI MFU!,HII NCHI INA VITUKO MNOOO!
 
Back
Top Bottom