Pre GE2025 CHADEMA, hali ngumu mnayopitia sasa ndio uhalisia itakavyokuwa kwenye uchaguzi 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukiona watu hawajitokezi kwenye maandamano ya Chadema haina maana kwamba wanaiunga mkono CCM la hasha. πŸ‘

Hali ni ngumu mtaani , Watu wapo bize kujitafutia riziki ili mkono uende Kinywani πŸ‘
 
Tangu Lissu amtoe Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Kinana mafichoni kuja kujibu hoja na akashindwa, wengine wanaokuja kuiongelea CHADEMA nawaona vikatuni.
 
Kuwa mkweli , ulitaka watu wangapi wahudhurie maandamano ya CHADEMA?.bmbona watu wengi walijitokeza. Punguza uongo. Kama huna Cha kupost Kaa na mume wako umfulie nguo.
 
Shida yako nini?.Mwanaume mzima kubwabwaja ujinga huoni ata aibu.Subiri uchaguzi ukifika wananchi wataamua,acha kuwalisha maneno.Maboss zako wako busy kuangalia jinsi watakavyoweka mpira kwapani kwakutegemea mbeleko wewe unakuja kubwabwaja hapa.
 
C
CHADEMA wako vizuri tu. Tatizo letu sisi ni kutegemea vyombo vya dola kama polisi kama alivyowahi kuonya JK huko nyuma.
 
Hali ngumu tunapitia sisi wananchi,siyo chadema.
 
CCM ni chama kilichopo madarakani. Hata wao wanatumia nguvu sana kujaza mikutano yao. Ni ngumu sana miaka hii kupoteza muda kumsikiliza mtu ambaye yeye na familia yake wamefanikiwa kupitia chama, wakati wewe haujui hatma ya maisha yako na familia yako. Tegemea 2025 hata wapiga kura watapungua kwa idadi. Vilevile Lissu kwenye inshu ya muungano anahoja ya msingi anayoisema. Sasa hoja kama ile ikienda hadi mwakani CCM wanashindwa kujieleza wakati jamaa anatoa Maelezo mepesi yanayoeleweka tambua mama hapo atajikuta anashinda hata kwa 57%. Lissu anachofanya ni kutengeneza chuki kwenye kitu ambacho watu walilala na walikipotezea ila kiukweli kinamapungufu makubwa.
 
lema kavuruga arusha halafu kawakimbia alijuwa wazi kabisa kwa aliyowatukana wana arusha hakuna wa kumpatia kura kaharisha kashindwa hata kufukia uharisho wake aibu lema
 
Maandamano ni haki, wamepewa mpaka ulinzi, sioni shida, shida ni tunaandamana tuna hoja ya Msingi?
 
Wanajificha kwenye kivuli cha katiba kufanya ubaguzi...Lakini Watanzania wamewapuuza
 
MAREHEMU ANAMSHAURI MFU!,HII NCHI INA VITUKO MNOOO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…