CHADEMA hamjamtendea haki Mzee Lowassa

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
CHADEMA wamepata Ruzuku ya Zaidi ya 2.7 sababu kubwa ni Kura za Mzee Lowassa lakini cha ajabu fedha hizo zimeishia kuhudumia wanafamilia na si ujenzi wa uimara wa chama badalayake viongozi kujenga mahekaru Yao na kuishi kifalme huku Chama kikibaki mifupa Mitupu.

Sikutegemea hata kidogo Kuona vijana wa CHADEMA wakimdhihaki Mzee Lowassa kwa watu walioumizwa na kifo chake badala yake wangejitafakari Mchango wa Mzee Lowassa ndani ya chama chao na kuangalia uhalisia wake kwa wakati huu kila mtu ni shuhuda juu ya matumizi mabovu ya ruzuku za chama lakini hakuna kijana hata mmoja wa CHADEMA anayeweza kuinua mdomo wake kuhoji hilo badala yake wamekuwa watu wa mipasho mitandaoni.

 
ukiona kila siku watu wanakusema ujue umewashinda kila kitu .
ccm kila kukicha mnashindwa kusema ya serikali ya ccm mnakalia ya chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…