Uchaguzi 2020 CHADEMA hapa mmechemsha, badilisheni mikakati

Ni kweli kabisa watu hawajawa na mwamko wa siasa kwa kipindi kirefu ndio maana mahuzulio yanadoda

Jambo hili ni hatari sana kwakuwa wanasiasa ndio waamuzi katika nchi hii. Haya yanayoonekana sasa ni dalili kuwa hata wapiga kura watakuwa wachache sana.

Unapoanza kuwa na idadi ndogo sana ya wapiga kura, ni rahisi kuanza kupata viongozi wabovu, au viongozi wasiowajibika kwa wananchi, bali kwa viongozi wanaoweza kuwapa ulaji.

Hii kuanza kuwa na wimbi kubwa la viongozi wasiochaguliwa na wananchi, bali kupita bila kupingwa litakuwa na matokeo hasi sana siku za mbeleni. Kwa sasa acha niishie hapa ili nisihamishe mjadala kutoka mjadala mkuu.
 
Mahudhurio yalikuwa mazuri, labda kama lengo ni kupata nyomi na sio kufikisha sera. Mimi binafsi nilitaka cdm wafanye kampeni kwa kanda kwanza kwenye awamu ya kwanza, yaani Dar mkutano mmoja, kisha Arusha mkutano mmoja, Mwanza na Mbeya...
Hakuna lolote zaidi ya chadema kukosa mvuto, mwambieni mshana awatafutie dawa ya mvuto.
 
Mkuu kwani sera ni nini? Na Lissu kusema akiwa rais atarudisha Uhuru na haki ya watanzania kujiamulia Mambo yao wenyewe kinatofauti gani na hizo unazoita sera? Au kwako wewe sera ni kuwaahidi wateja wa TASAF kwamba utanunua ndege 5?
Mkuu kwani wewe umenyimwa haki gani mpaka usijiamulie mambo yako mwenyewe?
 
Kwa nilichokiona segerea huyu jamaa yetu kachemsha, kimsingi ccm wanamtanguliza apakaze then waje nyuma kupiga deki mfute mazima,

Kaanza Dar kesho anaenda Arusha kesho kutwa Mwanza, baada ya siku kumi majiji yote kamaliza atakuwa hana kipya tena.

Leo chadema media wameondoa livestream utube hii Ni picha kuwa Hali haikuwa nzuri uwanjani
 
Mkuu kwani wewe umenyimwa haki gani mpaka usijiamulie mambo yako mwenyewe?
Mkuu kwa sisi huku msumi,tungekuwa tunaweza kuamua Mambo yetu wenyewe zile pesa za kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa chato tungewasambazi maji Safi na salama wakazi wa mbezi wanaotumia maji ya chumvi na Ile pesa ya kununua dream liner tungewekeza kwenye kilimo kinachoajiri 70% ya watanzania
 
Mkuu kwani sera ni nini? Na Lissu kusema akiwa rais atarudisha Uhuru na haki ya watanzania kujiamulia Mambo yao wenyewe kinatofauti gani na hizo unazoita sera? Au kwako wewe sera ni kuwaahidi wateja wa TASAF kwamba utanunua ndege 5?
Hayo Ni mawazo yake au ya chama?
Lissu kasema siku 100 za kwanza atapeta tune ya usuluhishi,kwani tulikua kwenye vuta ya wenyewe kwa wenyewe?hicho ndicho wanachotaka watanzania?
 
Mwisho watasema tujitoe tu
 
Kupanga ni kuchagua,lazima tuwe na ndege na viwanja muhimu
 
Mkuu huyu siyo Lisu tuliemtarajia
Lissu uliyemtarajia ulitaka akusanye watu wangapi mkuu?Sasa subiri siku Magu akija Dar uone wafanyakazi wetu wa umma na wanafunzi wetu watakavyolazimishwa kwenda mkutanoni huku malori yakibeba watu toka maneromangu,kusarawe,mkuranga ,kibiti na kadhslika.Kumbuka Magu kapiga kampeni kwa miaka mitano lakini bado malori yanahusika
 
Ndege na uwanja vitaingiza hela ambazo zitaenda kufanya uwekezaji kwenye hayo maeneo.
 
Hayo Ni mawazo yake au ya chama?
Lissu kasema siku 100 za kwanza atapeta tune ya usuluhishi,kwani tulikua kwenye vuta ya wenyewe kwa wenyewe?hicho ndicho wanachotaka watanzania?
Mkuu ina maana hata mwenyekiti wako huwa humsikilizi? Magu yupo kwenye Vita kwa miaka mitano Sasa au wewe mwenzetu haupo nchini?
 
Mmeanza kutekenyana Sasa...mnaanza kujistukia wenyewe haya endeleeni...kusikiliza na hadithi za risasi zilizo mwilini na vyuma..mtakapokumbuka shuka kutakuwa kumekucha...hahaha. anyway hata hivyo Hanna Sera za kuwaambia wananchi..zooote Magufuli amek0mba
 
Sasa kama anafanya hivyo ili kuwamaliza chadema kisaikolojia huoni kama mnapigwa bao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…