Uchaguzi 2020 CHADEMA hapa mmechemsha, badilisheni mikakati

2pia japo kapicha 2zibitishe unacho sema
 
Wapiga kura tutakuwa wengi Sana kwa kuwa tuna Jambo letu.kuwatondoa Tena kwa aibu wasioteda haki ,nakutudanganya no watetezi was wanyonge.

Mkuu dalili ya mvua ni mawingu, kwanza idadi ya waliojiandikisha kupiga kura ni ndogo sana, achana na taarifa za kupika za tume. Nakuhakikishia hakuna uwezekano wa wapiga kura wa 2015 kujirudia safari hii. Na hata idadi hiyo itajitokeza kama wapinzani wataendelea kupandisha hamasa ya kisiasa iliyopotea ndani ya hii miaka mitano. Sibahatishi ninachosema.
 
Kwa Hilo limetokea kwa sababu kadhaa,miongoni ikiwa leo ilikuwa no siku ya umaa pale taifa hivyo tuligawana majukumu tuu,Ila mioyo yetu no yeye2020
Watu wengi walikuwa taifa na kwenye vibanda umiza kufuatilia mechi ya Yanga na Simba ngao ya hisani.
 
Kwa Kwani watu wa mwaneromango msata mkuranga hawapaswi kushiriki uzinduzi?
 
Vyombo vya habari vimezuiwa na CCM kuwaonyesha chadema
Tumeona kwenye ilani eti watu watapewa uhuru wa kujiamria mambo yao.Kwa hili mtasubiri sana, USH-ga na US-gaji havina nafasi Tanzania
 
Point yangu ni kuhamasishana msiende kujiandikisha.
.
Hilo la tume kupika data linajulikana.

Lakini hili la nyie kuhamasishana msiende kujiandikisha alafu mnatarajia ushindi hilo ndio shida.
 
Huo ni mtazamo wako, lakini nadhani strategy ni nzuri sana kwani mgombea anawafikia watu maeneo yao.
 

Ushauri mwingine ni kwamba,
Tundu[SUB]Lissu [/SUB] akianza kuongea aongee mambo anayotarajia kuyafanya akipata urais, habari za kubwabwaja kuhusu magufuli awaachie wengine ye ajikite na sera zake tu.
 
Vyombo vya habari vimezuiwa na CCM kuwaonyesha chadema
Hadi you tube, instagram tiktok na WhatsApp? Nao wamezuiliwa? Nimenunua bando langu la tigo Hadi limechacha, mnatuwekea kaswida na duwa ya shekh wa mtaa,

Tbc simliwatimua wenyewe, nilienda kufanyia mkutano mbagala wakati mkijua huko mkongo wa taifa haupo na netwk Ni ya kusumbua,

Ila mumefanya la maana kupiga segerea kimyakimya zile njemba mgeziona
 
MATAGA pambana na Hali zenu... Kila kura ni Mali kwa TAL... Watu lazima wafwatwe fields kuombwa kura acha upuuzi wako
 
Point yangu ni kuhamasishana msiende kujiandikisha.
.
Hilo la tume kupika data linajulikana.

Lakini hili la nyie kuhamasishana msiende kujiandikisha alafu mnatarajia ushindi hilo ndio shida.

Kama tungeenda huoni kuwa idadi ingezidi hii ya kupika? Maana kama hatujaenda bado imezidi idadi halisi ya watu wazima unategemea nini? Sasa kama idadi ya wapiga kura ni ya kupika, hapo unaongelea ushindi ukiwa unamaanisha nini? Ama tunajadili suala tofauti mimi na ww?
 

Akili zimewakosa na wote wamekabidhi aikili tundu lisu wakati ni kichaa,
Mbowe kaamua kukaa pembeni maana nguvu ya washabiki mwaka huu imemzidi sasa afanyeje,
Pesa hatafuti kila mtu atumie nguvu zake.

Ameamua kuwaonyesha washabiki wa chadema kuwa maamuzi yao hayakuwa sahihi.
 
hata usishangae mkuu, dar ndo ngome yao kubwa na hawataki kuipoteza maana kipindi hiki kuna hati hati chadema kukosa wabunge
 

Hawa jamaa walianza kuharibu tokea mwanzo .
1. Walivyowafukuza TBC tena wakiwa live.
2.walivyokataa kuzindua Rasimu ya uchaguzi.
3. Mgombea wao kubaki akilalamikia risasi
4. Kutangaza maandamano kila kata na mpaka sasa hayupo aliyeandamana
5.kuchangisha michango

Nahisi ndani ya chama hakuko shwari, maana kule kawe nilimsikia mwenyekiti akitamka hadharani kuwa nimemwambia mgombea azungumzie ilani ya uchaguzi hii inaonyesha hawana mwongozo, au mshauri ndani ya chama.
Ndio maana nikawaambia wajifunze kwa mwakajoka kule tunduma alichofanya.
 
Mkuu kwa hiyo si kjitoe tu kwenye huu uchaguzi sasa?
 
Ushauri mwingine ni kwamba,
Tundu[SUB]Lissu [/SUB] akianza kuongea aongee mambo anayotarajia kuyafanya akipata urais, habari za kubwabwaja kuhusu magufuli awaachie wengine ye ajikite na sera zake tu.
hapana, LAZIMA aeleze nani kampiga risasi, mtajua wenyewe kwann mmefanya ukatili ule?!.
 
Ushauri umechelewa na uwe mvumilivu kwa mkakati mbadala. Ndiyo demokrasia.
 
Mkuu kwa hiyo si kjitoe tu kwenye huu uchaguzi sasa?

Mimi sio msemaji wala mtoa maamuzi wa hicho chama, bali nasema ukweli ninaouana kwenye nchi hii. Maamuzi ya chama kushiriki ama kujitoa hayako mikononi mwangu.
 
Hawa Hawashaurikiii Hawa Wanajiona wanajua Kila Kituu Kumbe Wanakwenda Tumbikia shimonii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…