Elections 2010 chadema hapa vipi?

Elections 2010 chadema hapa vipi?

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Posts
1,827
Reaction score
708
jamani chadema imekuwaje baadhi ya maeneo tunasikia hakuna mawakala sasa mnategema nini si mtakuja kutulalamikia baadae kuwa kura zetu zimechakachuliwa? kwamfano huko simanjiro kwenye kata ya shambarai hakuna hata kituo kimoja chenye wakala wa chadema watueleze kulikoni hapo pamenikatisha tamaa kabisa ya ushindi niliokuwa nautegemea
 
Back
Top Bottom