CHADEMA hata wakuchukua mali zote, haiwezi kufa. Watakufa wao

CHADEMA hata wakuchukua mali zote, haiwezi kufa. Watakufa wao

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Serikali ya ccm wanapanga kupiga mnada mali za chadema ili mnunuzi kikaragosi chauma azinunue kwa bei ya bure.

Mbowe, salimu mwalimu, yule zonal director lake zone etc ndio drivers wa hili.

Ni kwamba chadema haiwezi kufa kwa kunyanganywa ofisi au magari, chadema itakufa siku ikiacha kuamini misingi yake.

CHadema inaweza kupata ofisi kali ndani ya wiki 1 kupitia wanachama na wadau wanao waunga mkono.

Chadema ni chama imara sana, kina viongozi wakutosha, wafuasi zaidi ya mil 20 nje na ndani.


Narudia , chadema haiwezi kufa kwa kuondokewa na mali.za chama.

Thanks

No reforms, No election
 

Attachments

  • 20250607_134925.jpg
    20250607_134925.jpg
    187.6 KB · Views: 33
Swali lakizushi sasa ukiuza Mali hela unaenda kumpa nani?🤣🤣🤣 mana chama hakina deni pahali na hata walalamikaji ambao mkoja wao akiwa ndio makamu mwenyekiti wa wadhamini hii inahitaji maelezo ya kina adui kila anapogusa anakua hajapiga hesabu vyema mana mafai na adhabu haviendani unataka mali unazuia shughuli za chama ? Hadi mikutano inahusikaje na mali? Unahitaji akili Mnembe kuelewa haya yote nalo yatapita kama mengine
 
Back
Top Bottom