CHADEMA, hawa watu tusiwabeze, inawezekana wamechoka kutumika na sasa wameamua kuboronga

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Baada ya tafakuri ya muda mfupi, nimepata hisia kuwa hata kama wana uwezo mdogo, lakini sio wa kufanya makosa kama haya ya kiuandishi.

Hivyo, nahisi huenda baadhi yao hawafurahii haya mambo,.ila wanafanya kwa kulazimishwa tu na matokeo yake na wao wanamua kufanya kazi chini ya kiwango.

Kwahiyo nashauri tufanye kauchunguzi kwanza kabla ya kuendelea kuwabeza kwani huenda tunawakatisha tamaa bila kujua.

Narudiia, haingii akilini unless ni makusudi na kama sio makusudi, basi hili ni janga kubwa kwa nchi yetu.

Bado sitaki kuamini kama kweli wamekosea kwani hayo makosa sio typing error useme wamekosea bali nahisi kuna jambo.

Uki-type kwa kutumia word na ukakosea spelling, si word inakuonyesha? Ina maana hata microsoftword hawajasoma?

Tukumbuke kuna watu huto siri juu ya yanayoendelea na kuwajulisha makamanda wetu- tutafakari.

Tuunganishe dot pia kuhusu hoja ya Mwanasesere kutoka kwa Mr. Slow slow.
 
naunga mkono hoja

Ngumu kuamini!

Screenshot_20211029-200525_Twitter.jpg
 
Baada ya tafakuri ya muda mfupi, nimepata hisia kuwa hata kama wana uwezo mdogo, lakini sio wa kufanya makosa kama haya ya kiuandishi.

Hivyo, nahisi huenda baadhi yao hawafurahii haya mambo,.ila wanafanya kwa kulazimishwa tu na matokeo yake na wao wanamua kufanya kazi chini ya kiwango.

Kwahiyo nashauri, tufanye kauchunguzi kwanza kabla ya kuendelea kuwabeza kwani huenda tunawakatisha tamaa bila kujua.

Narudiia, haingii akilini unless ni makusudi na kama sio makusudi, basi hili ni janga kubwa kwa nchi yetu.

Bado sitaki kuamini kama kweli wamekosea kwani hayo makosa sio typing error useme wamekosea bali nahisi kuna jambo.

Tukumbuke kuna watu huto siri juu ya yanayoendelea na kuwajulisha makamanda wetu- tutafakari.
😁😁

IMG_20211029_201139_121.jpg
 
Kamanda,umeshaujua ukweli ambao uliupinga kwa miaka mingi.Hujachelewa
Baada ya tafakuri ya muda mfupi, nimepata hisia kuwa hata kama wana uwezo mdogo, lakini sio wa kufanya makosa kama haya ya kiuandishi.

Hivyo, nahisi huenda baadhi yao hawafurahii haya mambo,.ila wanafanya kwa kulazimishwa tu na matokeo yake na wao wanamua kufanya kazi chini ya kiwango.

Kwahiyo nashauri, tufanye kauchunguzi kwanza kabla ya kuendelea kuwabeza kwani huenda tunawakatisha tamaa bila kujua.

Narudiia, haingii akilini unless ni makusudi na kama sio makusudi, basi hili ni janga kubwa kwa nchi yetu.

Bado sitaki kuamini kama kweli wamekosea kwani hayo makosa sio typing error useme wamekosea bali nahisi kuna jambo.

Tukumbuke kuna watu huto siri juu ya yanayoendelea na kuwajulisha makamanda wetu- tutafakari.
 
Hawajachoka...ni akili ndogo waliyotumia hawajajipanga...haiezekani kila anayetoa ushahidi mambo yanaenda kombo...mtu anakuwa kada afu anakana sjawai kuwa na chama....imagine mtu aseme nimewai kuwa padre lakini sina dini....kapewa risasi yeye kaleta maganda eti alitest kuona kama ni nzima ihiiiii bhagosha😥😥😥😥
 
Inawezekana baadhi yao.wamechoshwa na mambo ya wanasiasa wasiotenda haki.

No wonder hata Majaji wanajitoa ingawa wanakuwa tayari hawajatenda haki
 
Back
Top Bottom