CHADEMA, hawa watu tusiwabeze, inawezekana wamechoka kutumika na sasa wameamua kuboronga

makamanda wakifanya ukamanda wa kupeana moyo!
Nahisi wanafanya hivyo kuwaweka katika mazingira magumu kina Pilato kwani ndio wanaonekana kupokea maagizo kutoka juu.

Wao wanaharibu, kina Pilato watajijua.
 
Lugha za kimakabila husababisha kuchanganya R vs L, Cha ajabu mpaka English tunashindwa kujua wingi na uchache kwababu kiswahili si lugha ya uajemi na english si lugha ya est afrika. Tusilaumu hata watangazaji hufanya makosa mengi kwenye matamshi na uandishi.
 
Tunaendelea kuunganisha dots
 
inasemekana Polepole ndio anaongoza ccm kwa sasa , japo nyuma ya pazia , ndio maana Makatibu wameng'olewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…