Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
CHADEMA hawana standard wangekuwa na standard wasingemrudisha Dkt. Slaa, vyama vya upinzani vingi vya afrika havina ideology, na standard, mtu aliyeandika mambo ya uongo na uzindaki dhidi ya chama chake cha zamani leo tena anapewa nafasi ni ajabu sana.
Moja ya mambo yanayowafanya baadhi ya wananchi wasiamini vyama vya upinzani ni pamoja na maamuzi kama haya ya chadema kumrudisha Dkt. Slaa
Vyama vya upinzani waset standard za juu ili kuongeza imani kutoka kwa wananchi tofauti na hapo harakati zao zitakuwa sawa na za pimbi