Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kuna sehemu nimesema kwenye uzi kwamba ccm ina-standard ebu nionyeshe sababu hata neno ccm sijaliandika kwa namna yeyote ileCCM ina standard gani kurudisha mzee wa miaka 96 kumpa cheo cha utendaji ana jipya lipi kama si kusinzia sinzia na kuropoka - afadhali Dr. kuwa mshauri tu kwa 76 ni sawa kabisa.
Eti kupokea wanachama mpaka standard jamani😂😂CCM ina standard gani kurudisha mzee wa miaka 96 kumpa cheo cha utendaji ana jipya lipi kama si kusinzia sinzia na kuropoka - afadhali Dr. kuwa mshauri tu kwa 76 ni sawa kabisa.
Hoja yako ni mfu boss. Chama ni wanachama, nje ya hapo hicho sio chama labda kikobaKuna sehemu nimesema kwenye uzi kwamba ccm ina-standard ebu nionyeshe sababu hata neno ccm sijaliandika kwa namna yeyote ile
Sio kweli, huwezi kupuuza ushawishi wa Dr Slaa, utakua kichaaCHADEMA hawana standard wangekuwa na standard wasingemrudisha Dkt. Slaa, vyama vya upinzani vingi vya afrika havina ideology, na standard, mtu aliyeandika mambo ya uongo na uzindaki dhidi ya chama chake cha zamani leo tena anapewa nafasi ni ajabu sana.
Moja ya mambo yanayowafanya baadhi ya wananchi wasiamini vyama vya upinzani ni pamoja na maamuzi kama haya ya chadema kumrudisha Dkt. Slaa
Vyama vya upinzani waset standard za juu ili kuongeza imani kutoka kwa wananchi tofauti na hapo harakati zao zitakuwa sawa na za pimbi
Mtu aliyesema chadema kinahusika na utekaji akijua anasema uongo na akapata nguvu ya kuweka kwenye kitabu chake leo anarudi tenaSio kweli, huwezi kupuuza ushawishi wa Dr Slaa, utakua kichaa
Dunia kote watu wenye mafanikio wame set standardHoja yako ni mfu boss. Chama ni wanachama, nje ya hapo hicho sio chama labda kikoba
Kwenye siasa hakuna uadui wa kudumu wala urafiki boss, wasira kule ccm aliwahi kuiasi na kwenda nccr Leo yupo ccm unasemaje,?Mtu aliyesema chadema kinahusika na utekaji akijua anasema uongo na akapata nguvu ya kuweka kwenye kitabu chake leo anarudi tena
Mmmh, hiyo sio siasa boss, kusema slaa Hana ushawishi wowote ni uwongoDunia kote watu wenye mafanikio wame set standard
Dr slaa hana ushawishi wowote ule ni ndumilakuwili
Huwezi nielewe sababu huku afrika mambo mengi sana yanajiendea tu
Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Wasira aliondoka CCM na akaipiga mawe sana akiwa NCCR Mageuzi alirudi na akapewa nafasi kubwa tu serikalini na kwenye Chama.CHADEMA hawana standard wangekuwa na standard wasingemrudisha Dkt. Slaa, vyama vya upinzani vingi vya afrika havina ideology, na standard, mtu aliyeandika mambo ya uongo na uzindaki dhidi ya chama chake cha zamani leo tena anapewa nafasi ni ajabu sana.
Moja ya mambo yanayowafanya baadhi ya wananchi wasiamini vyama vya upinzani ni pamoja na maamuzi kama haya ya chadema kumrudisha Dkt. Slaa
Vyama vya upinzani waset standard za juu ili kuongeza imani kutoka kwa wananchi tofauti na hapo harakati zao zitakuwa sawa na za pimbi
Ndo maana huku afrika hatuna standard mambo mengi yanajiendea tuMakamu mwenyekiti wa CCM mzee Wasira aliondoka CCM na akaipiga mawe sana akiwa NCCR Mageuzi alirudi na akapewa nafasi kubwa tu serikalini na kwenye Chama.
mmeumia sana wacha dokta apige kazi amalizie uzee vizuri najua sahii hana chakupotezaCHADEMA hawana standard wangekuwa na standard wasingemrudisha Dkt. Slaa, vyama vya upinzani vingi vya afrika havina ideology, na standard, mtu aliyeandika mambo ya uongo na uzindaki dhidi ya chama chake cha zamani leo tena anapewa nafasi ni ajabu sana.
Moja ya mambo yanayowafanya baadhi ya wananchi wasiamini vyama vya upinzani ni pamoja na maamuzi kama haya ya chadema kumrudisha Dkt. Slaa
Vyama vya upinzani waset standard za juu ili kuongeza imani kutoka kwa wananchi tofauti na hapo harakati zao zitakuwa sawa na za pimbi
sasa kama hana ushawishi shida yako nini c furaha yako imetimizwaDunia kote watu wenye mafanikio wame set standard
Dr slaa hana ushawishi wowote ule ni ndumilakuwili
Huwezi nielewe sababu huku afrika mambo mengi sana yanajiendea tu
Hakika. Mtu aliyefurahia mauaji ya wananchi, akasema wanajiteka, leo unamkaribishaje chamani. Ni ama mmeishiwa watu makini au hamna msimamo.CHADEMA hawana standard wangekuwa na standard wasingemrudisha Dkt. Slaa, vyama vya upinzani vingi vya afrika havina ideology, na standard, mtu aliyeandika mambo ya uongo na uzindaki dhidi ya chama chake cha zamani leo tena anapewa nafasi ni ajabu sana.