Rais Samia alipoingia madarakani alionesha kukerwa na udictator wa Magufuli wa kukataza siasa za upinzani ispokuwa siasa zibaki zinafanywa na ccm tu. Hapo tukaona mikutano yote ilizimwa. Samia akasema no katiba lazima ifuatwe.
Badala ya CHADEMA kuona sasa mwanga umeonekana mana siasa ni ajira pia wao wakaanza kuvurumisha mitusi tu tena kwa huyo huyo aliyeonesha positive altitute
Ikumbukwe hawa ndo CHADEMA waliwalalamikia kudhulumu haki za watu hivyo mama akawasikiliza akatekeleza matakwa yao kwa kuwakwaza CCM. Sasa sijui hawakujua kama Rais Samia naye ni mtu na ana moho wa nyama.
Sasa kawarudisha wote tuone sasa Uchaguzi ujao kama.mtaambulia kiti hata kimoja. Sabaya yupo njiani kirudi.
CHADEMA ajifunzeni kula na kipofu na ukishikwa basi shikamana.