Chadema hawajui kula na kipofu sijui shida ni elimu ndogo au?

Kuitafuna nchi tumewaachia ccm ndio maana tunataka kuzilinda rasilimali na mali za taifa kwa manufaa ya taifa na watanzania 🫠
Akina lisu wanazitafuna kishenzi kwa kutumia ujinga wenu. Kishajenga masaki huko na bado anataka michango yenu. Wajinga ndo waliwao
 
Vipi aliyejenga kibanda chake nchini mwake anaweza hata kukupangisha wewe na aliyeenda kujenga magorofa uswisi na kuhifadhi huko pesa zetu🤣
 
Mama alivyoingia madarakani alionesha kuwapenda sana na kukubaliana na kila hoja yenu mkaamuona fala. Mlilalamika sana kuhusu sabaya na kwa kweli alikuwa tishio kwa uhai wa chama, mama akamtoa tena na kesi juu ili kauwaridhisha lakini mkamuona fala mkaanza kumtukana kupitia lisu na yule kichaa mdude.

Haya mlimsrma sana makonda na ni kweli alikuwa katili sana, mama hakutaoa kabisa kumsogeza kwenye serikali yake nyie mkamuona fala.

Mlilalamika sana kwamba mwendazake alikataza mikutano kibabe mama akasema no katiba lazima ifatwe nyie mkamuona fala.

Alikuja kwenye mkutano wa bavicha tena akawa mgeni rasmi baadae mkamuona fala kwa ktukana.

Aliwaondolea Ali hapi baada ta kumlalamikia sana nyie mkamuona fala

Sasa kaamua kuwarudisha wote amewaona nyie ni mataahira ndo shida ya kuongia kwenye siasa elimu yako form four au haieleweki.

Naskia na sabaya soon atakula teuzi ili mlionje joto la jiwe.
 
Cheki hili zuzu linawaza tumbo mijitu kama hii likipewa hata finyango moja liko tayari kutoa...Chadema haiko kupigania matumbo...ninTaasisi ya kupigania HAKI
 
Mama alivyoingia madarakani alionesha kuwapenda sana na kukubaliana na kila hoja yenu mkaamuona fala. Mlilalamika sana kuhusu sabaya na kwa kweli alikuwa tishio kwa uhai wa chama, mama akamtoa tena na kesi juu ili kauwaridhisha lakini mkamuona fala mkaanza kumtukana kupitia lisu na yule kichaa mdude.

Haya mlimsrma sana makonda na ni kweli alikuwa katili sana, mama hakutaoa kabisa kumsogeza kwenye serikali yake nyie mkamuona fala.

Mlilalamika sana kwamba mwendazake alikataza mikutano kibabe mama akasema no katiba lazima ifatwe nyie mkamuona fala.

Alikuja kwenye mkutano wa bavicha tena akawa mgeni rasmi baadae mkamuona fala kwa ktukana.

Aliwaondolea Ali hapi baada ta kumlalamikia sana nyie mkamuona fala

Sasa kaamua kuwarudisha wote amewaona nyie ni mataahira ndo shida ya kuongia kwenye siasa elimu yako form four au haieleweki.

Naskia na sabaya soon atakula teuzi ili mlionje joto la jiwe.
Wewe unadiriki kumuita Mh. Rais Samia kipofu,ama kweli huko CCM hamna adabu kabisa,Lucas Mwashambwa msikie kada mwenzako huku anamtweza Mh. Rais Samia,ruka naye huyu.
 
Rais Samia alipoingia madarakani alionesha kukerwa na udictator wa Magufuli wa kukataza siasa za upinzani ispokuwa siasa zibaki zinafanywa na ccm tu. Hapo tukaona mikutano yote ilizimwa. Samia akasema no katiba lazima ifuatwe.

Badala ya CHADEMA kuona sasa mwanga umeonekana mana siasa ni ajira pia wao wakaanza kuvurumisha mitusi tu tena kwa huyo huyo aliyeonesha positive altitute

Ikumbukwe hawa ndo CHADEMA waliwalalamikia kudhulumu haki za watu hivyo mama akawasikiliza akatekeleza matakwa yao kwa kuwakwaza CCM. Sasa sijui hawakujua kama Rais Samia naye ni mtu na ana moho wa nyama.

Sasa kawarudisha wote tuone sasa Uchaguzi ujao kama.mtaambulia kiti hata kimoja. Sabaya yupo njiani kirudi.

CHADEMA ajifunzeni kula na kipofu na ukishikwa basi shikamana.
 
Attachments

  • downloadfile.jpg
    downloadfile.jpg
    180 KB · Views: 2
Vipi aliyejenga kibanda chake nchini mwake anaweza hata kukupangisha wewe na aliyeenda kujenga magorofa uswisi na kuhifadhi huko pesa zetu🤣
Na wakishakufa Jamaa wanazitaifisha hizo pesa zilizofichwa 🤣
 
Kuna watu watakuja kuwageuka chadema na kwenda ccm .
Tundu lissu kwa maono yangu anaweza kuwa ccm akatulia tuli akijifanya mwema akapewa kuongoza nchi.
Na nchi yake ataiongoza kwa vilio nakudaga meno. Na mtajuta kumchagua . Ccm saivi ni wabaya maana mnapumua ngoja chadema waende ccm wakashike nchi mtahama.

Chadema kwa mtu mwenye akili haipigii kura
 
Rais Samia alipoingia madarakani alionesha kukerwa na udictator wa Magufuli wa kukataza siasa za upinzani ispokuwa siasa zibaki zinafanywa na ccm tu. Hapo tukaona mikutano yote ilizimwa. Samia akasema no katiba lazima ifuatwe.

Badala ya CHADEMA kuona sasa mwanga umeonekana mana siasa ni ajira pia wao wakaanza kuvurumisha mitusi tu tena kwa huyo huyo aliyeonesha positive altitute

Ikumbukwe hawa ndo CHADEMA waliwalalamikia kudhulumu haki za watu hivyo mama akawasikiliza akatekeleza matakwa yao kwa kuwakwaza CCM. Sasa sijui hawakujua kama Rais Samia naye ni mtu na ana moho wa nyama.

Sasa kawarudisha wote tuone sasa Uchaguzi ujao kama.mtaambulia kiti hata kimoja. Sabaya yupo njiani kirudi.

CHADEMA ajifunzeni kula na kipofu na ukishikwa basi shikamana.
Mama hakurudisha kwa hiari yake ila kwa mashinikizo na yangekuwa ni mashinikizo ya CDM wala asingerejesha mikutano ya hadhara ila ni mashikizo ya hao wanao wapa misaada na mikopo.
 
Back
Top Bottom