CHADEMA hawana uwezo wa kuchukua nchi. Wakikamiwa wanapoa Kama uji wa dundi

We have long to go....

There is more than one way to skin a cat, Others believe in Non Violence, Non Violence we Shall Overcome...,while others believe in By any Means Necessary (I prefer the former not the latter)...

I am great believer in standing for the truth and what I or someone else believe in (even if I don't agree with them), when the time is right the world will take its cause, One should keep on Speaking One's Mind for the Sake of what one's believes in and not for the sake of Power...

You don't have to be in the driving seat to make a difference....
 
Chadema imekufa kifo cha mende tatizo inategemea mtu mmoja tu
Chama cha TANU ni taasisi
Amekufa nyerere
Amekufa mkapa
Amekufa magufuri
TANU inadunda tu
 
Be clear. Kwanza sio sahihi kulinganisha CHADEMA na CCM kuhusu kuchukua hatua. CCM si chama cha siasa; ni dola kamili. Taasisi na vyombo vyote vya dola vinapokea na kutekeleza amri za mwenyekiti wa CCM bila kuhoji.

Unaposema “mashambulizi” ya muda mrefu katika muktadha (context) wa Tanzania inaeleweka ni mapambano ya ana kwa ana, physically, kati ya CHADEMA na vyombo vya dola hadi ushindi upatikane.

Mapambano ya aina hiyo hutokea na kuwezekana pale tu chama kama CHADEMA kikiweza kukusanya maelfu ya wananchi walio tayari kujitoa mhanga (kufa, kujeruhiwa) kupigania madai ya CHADEMA. Kama mass mobilization ya aina hiyo isipotokea mashambulizi hayo hayawezi kuwa na maana. Unawafahamu Watanzania.

Waambie CHADEMA kuwa hawana maana kama chama cha siasa katika nchi hii ya CCM. Hawakubaliki - kwa maudhui ya bandiko hili.
 
Unapozungumzia CCM elewa kwamba unazungumzia chama cha siasa kinachovaa koti la DOLA (Serikali Kuu, taasisi za Serikali + vyombo vya ulinzi na usalama).
Chama ambacho hakina tena USHAWISHI wa HOJA katika ulingo wa Siasa za hoja!

CHADEMA unaosema wewe wamepoa kama uji ndiyo hawa wanaokutana na misukusuko ya vyombo vya ulinzi na usalama, lakini SPIRIT bado ipo juu. Unajua kwa nini? Yawezekana kwako unataka CHADEMA wajibu mapigo kwa FUJO (VITA /MACHAFUKO) lakini tayari nchi ipo kwenye phase muhimu sana katika kuyafikia MABADILIKO. Taifa lipo ile hatua ya makundi ya wasomi kuibuka na kuanza kukosoa Serikali huku watu 'maamuma' wakichochewa kwa hoja zao.

Chama cha Siasa kazi kubwa ni kujenga ushawishi kwa umma, hili CHADEMA wamefanikiwa sana kama utafata TREND ya mafanikio ya chaguzi (Ondoa huu wa mwendazake wa 2020 ambao sote tunajua nini kilitokea).

Siku itafika CHADEMA itakuwa inafaidi matunda ya umma utakao chemka kama uji kwenye jiko la gesi, hakutokuwa na DOLA ya 'kuupoza' kama haja yako ni MACHAFUKO.
 
Kama hawana uwezo mbona kupoteza muda wako kuandika ukrasa wote huo.
 
Nakujua vizuri mzee wa kuforce uongo.

Bendera fuata upepo fanya hivi, chini ya utawala wa dhalimu ndani ya miaka mitano deni la taifa limekua kwa 20t, changanua ni kipi kimefanyika mpaka deni kupanda kwa kiwango hicho. Ukimaliza hilo sasa tuendelee na mjadala.
 
Ma CHADEMA ukiyasema sana yanaanza kuomba michango. Majinga kweli kweli
 
Ni Mjinga tu ndio Anaweza KUAMINI HIVYO Hata MKOLONI ALIMWAMBIA NYERERE

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…