Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanakumbi.
CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu, mmeayaona mataifa ambayo mnataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi.
Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka Judiciarytz kusimamia sheria na haki siyo Rais Samia, kusema aachiwe.
Utawala wa Sheria hautaki hivyo.
Bahati mbaya Chadema wasomi wengi wameikimbia sasa hivi chama kipo mikononi mwa wanaharakati.
Hawa ndiyo wamemponza Mbowe, wamemwambia apambane na serikali wapo nyuma yake hamna hata mmoja alifika hata kituo cha polisi kumjulia hali.
Mpumbavu ni nani?
Mpumbavu ni Mtanzania yoyote anayemuamini mtu anajipambanua kama mwanaharakati za Haki za Binadamu na utawala Bora lakini harakati zake zinaelemea upande mmoja wa chama cha siasa. Kupandikiza chuki na kugawa watu matabaka ya uvyama.